Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

Mkuu universe ni mjumuiko wa vitu vinavyopatikana kwenye anga/space.. ambapo ni black holes,nyota,sayari,vimondo,viumbe n.k n.k yani ukisema universe ni kama umezungumza vitu vyote vinavyopatikana kwenye anga/space.
Asante mkuu kwa kusahihisha
 
Wataalamu mpo humu?
Natamani kujua kiundani kuusu hili 'the most giant massive katika universe.. Hercules corona borealis ni kitu gani na huo ukubwa wake upo vipi..
Mje wadau katika huu
f0c8b7f043b17869a952711ae896fa2f.jpg
uzi wetu pendwa
 
Kuna nyota moja kila siku nikiamka mida ya saa11 alfajiri naiona iking'aa sana kuliko nyingine na hata pakizidi kupambazuka nyota zote zinakua tayari zimepotea lakini yenyewe bado inaonekana iking'aa sana. Hivi hii ni sayari au ni satellite na je kama ni sayari ni sayari gani Wakuu?.
Cc.kifyatu
 
Cc.kifyatu.
 
Mkuu hiyo ni sayari ya venus ambayo wanaiita a morning star
Mara nyingi huwa inaonekana kabla ya jua kuchomoza na kipindi kingine huwa baada ya jua kuzama.
Pia ukiacha jua na mwezi, venus ndiyo inayong'aa zaidi angani, ikifuatiwa na nyota ya Sirius.
 
What is a star?

Photo of the Sun, our nearest star.
EIT - SOHO Consortium / ESA / NASA

We're all pretty familiar with stars. We see themon most clear nights as tiny, twinkling pinpricks of light in the sky. Stars are the topic of countless poems, stories, and nursery rhymes alike. But just what is a star, exactly?

A star is a luminous ball of gas, mostly hydrogen and helium, held together by its own gravity. Nuclear fusion reactions in its core support the star against gravity and produce photons and heat, as well as small amounts of heavier elements. The Sun is the closest star to Earth.

Where do stars come from?
According to current star formation theory, stars are born as clumps within gigantic gas clouds that collapse in on themselves. The cloud’s material heats up as it falls inward under the force of its own gravity.

When the gas reaches about 10 million K (18 million °F), hydrogen nuclei begin to fuse into helium nuclei, and the star is born. Energy from nuclear fusion radiates outward from the center of the burgeoning star, and gradually halts the gas cloud’s collapse.

Types of Stars

Image credit: NASA

A star’s color relies on its temperature: hotter stars emit bluer light and cooler stars emit redder light. Temperature is also correlated to mass. Red dwarf stars have as little as 0.075 solar masses and a visible surface temperature less than 4,000 K. The most massive star known is R136a1, a Wolf-Rayet star 265 times the Sun’s mass — its visible surface temperature hovers at a searing 50,000 K.

The most massive (and hottest) stars exhaust their energy supply within a few million years, while tiny and cool red dwarf stars can keep on burning for many billions of years.

Want to learn more about our starry skies? Subscribe to Sky & Telescope! Every month you'll receive in-depth articles on cutting edge astronomy research, expert advice on observing planets and faraway galaxies, as well as detailed reviews on the newest telescopes, mounts, eyepieces, and more!
 
Mkuu hiyo ni sayari ya venus ambayo wanaiita a morning star
Mara nyingi huwa inaonekana kabla ya jua kuchomoza na kipindi kingine huwa baada ya jua kuzama.
Pia ukiacha jua na mwezi, venus ndiyo inayong'aa zaidi angani, ikifuatiwa na nyota ya Sirius.
Duu nashukuru kwa kunijuza mkuu, jf hidumu milele.
 
Duu nashukuru kwa kunijuza mkuu, jf hidumu milele.
Pamoja sana.
Ingekuwa poa kama kuna maswali tukashare humu wote ili kuufufua uzi wetu pendwa na kujiongezea maarifa, maana ni kitambo sana uzi umepoa

Cc kifyatu na wengine wa astronomy
 
Pamoja sana.
Ingekuwa poa kama kuna maswali tukashare humu wote ili kuufufua uzi wetu pendwa na kujiongezea maarifa, maana ni kitambo sana uzi umepoa

Cc kifyatu na wengine wa astronomy
Kweli kabisa mkuu, nawaona wakina kifyatu nao wamepotea sana sijui vyuma navyo vimekaza kwenye mbs au vipi.
 
Back
Top Bottom