Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

Habari wakuu, napenda kujua kuhusu hii nyota iitwayo "Methuselah" au HD 140283 inayosadikiwa kuwa na umli mkubwa wa miaka 14.5 billions wakati universe inakadiliwa kuwa na miaka 13.7 billions, hili limekaaje? Kuna mwenye uelewa zaidi wa hili? Au kuna possibility ya kutoamini umli wa universe tangu Bing bang kwa maana ya kuwa binadamu amegota katika calculation zake?
Mkuu Kifyatu, Makanyanga, neo1 na wengine nawaombeni kwa hili
 
It's not - the current age is an estimate.The discrepancy comes from astronomer's attempts to fully and correctly measure aspects of the star, particularly its distance.From the NASA page:

The new Hubble age estimates reduce the range of measurement uncertainty, so that the star's age overlaps with the universe's age — as independently determined by the rate of expansion of space, an analysis of the microwave background from the big bang, and measurements of radioactive decay.
Currently, if you take the uncertainty into account, the current estimate for the star's age is 14.5 +/- 0.8 billion years or between 15.3 and 13.7 billion years - the latter end of the estimate overlaps with the current model of the age of the Universe- so a more correct way of describing this age is that HD 140283 is at least 13.7 billion years old by this estimation.

Another paper based on this star in Nature - "Nearby star is almost as old as the Universe", a team has narrowed down the age to 13.9 +/- 0.7 billion years, stating that:

Taking into account that experimental error, the age does not conflict with the age of the Universe, 13.77 billion years.
more concisely stating that

The star's age is therefore at least 13.2 billion years
No doubt further work is being performed to further refine the age of the star.
 
Mhh! Hakuna uwezekano wa kuwa wrong calculation za bing bang kweli hapo? Au theory zote ni za kufikirika tu kwa mwanzo wa universe?
 
Black holes hutokea pale nyota inapofikia mwisho wa maisha yake na kufa, hiyo nyota hugandamizwa na kupungua size kwa kuwa na umbo dogo hivyo kuwa na nguvu ya uvutano (gravity) kubwa zaidi.
Baada ya black hole kutengenezwa huanza kuvuta na kumeza vitu vilivyo karibu yake mfano huweza kuungana na black holes nyingine, humeza nyota nyingine hivyo kuzidi kukua na kupngezeka ukubwa.
Kutokana na ukubwa wa uwezo wake wa nguvu ya kuvuta vitu, hakuna kitu chochote kinachoweza kupenya ukiwemo mwanga. Mwanga unapoingia kwenye black hole hauwezi kupenya au kuwa reflected kutokana na nguvu ya uvutano iliyopo ndani hivyo basi kila kiingiacho hakiwezi kutoka.
Then wat the end! Vikimezwa mwishowe ni nini ama ina form nn
Ooops nimesha fuatilia pages kadhaa no qn at all
 
Mmmh kwakweli kwa Elimu hizi, pamoja na Elimu yangu ndogo nimewatafakari watafiti hawa nimeona bora nisiwaamini tu. Akili yangu inaniagiza tu kwamba Jua la Dunia yetu sio Nyota na halijawahi kuwa Nyota kama ambavyo Nyota sio jua na halijawahi Kuwa jua, data wanazotuaminisha wanasayansi haziaminiki Mfano, Jua kuwa umbali wa mile 93 milioni kutoka duniani!! Mmmh, na kivipi naliona hapo kitambo tu baada ya mawingu?
Dunia kujizungusha kwa Maili 1000 kwa saa na mimi nisihisi mzungunguko huo, mhh!! Za kuambiwa changanya na zako.
Kwamba Gravity inayashika barabara makorokoro yote yasiondoke kwenye uso wa dunia!! Hii inamaanisha Meli zinatembea juu chini au kiubavubavu!! Mbona mavumbi, tiara, Maputo, yanapaa juu sana bila kuvutwa!! Duh nagoma huru hapa
Kwamba dunia duara ila mduara huo haunekani kwa flights wa kwa darubini na maji yanabaki kwenye level yake siku zote!!!!
Kuna maujinga mengi sana wanasayansi wamenishurutisha kuyala huko shule, kwasasa nayakataa kwakuwa macho yangu yameshuhudia live jua likichapa mwendo angani, live jua likiwa sio Nyota, live Nyota zikiwa sio jua, live level ya bahari ikiwa sawa kudhihirisha dunia sio duara, live NASA wakikiri kutoenda mwezini kutokana na kuwepo kwa mionzi hatari Feet 100,000 kutoka duniani ambayo space crafts haziwezi kupenya!!!
Live wakitupa data nisizoweza kuthibitisha japo ya macho yangu yanathibitisha kiuhalisia.
 
Kuna uzi nilitoa mod walinifutia ningewajuza kila kitu japo hamtaweza kuamini mpka kufa kwenu,hakuna sayari kadhaa na wala hii dunia sio tufe kama mnavyofaam ni hayo tu.
 
Kuna uzi nilitoa mod walinifutia ningewajuza kila kitu japo hamtaweza kuamini mpka kufa kwenu,hakuna sayari kadhaa na wala hii dunia sio tufe kama mnavyofaam ni hayo tu.
Tudadavulie hapa mkuu hata japo kidogo, saivi sidhani kama wataweza kufuta maana hapa itakua ni maoni tuu na kama tunavyojua kila mtu anayo haki ya kutoa maoni ilimradi havunjii heshima uma, karibu sana mkuu.
 
WALE WANA ASTRONOMY STEPHEN HAWKING' (STARSHOT) ATUNAE TENA AMEFARIKI DUNIA. LAA TUMUENZI.
 
WALE WANA ASTRONOMY STEPHEN HAWKING' (STARSHOT) ATUNAE TENA AMEFARIKI DUNIA. LAA TUMUENZI.
Inauma mtu anayetegemewa kuzidi kutuletea ujuzi wa kuhusu ulimwengu wetu anafifia ghafla aisee.
 
Back
Top Bottom