Ufahamu na kujiepusha na Jicho baya kwa watoto wadogo!!

Usibishane Na Madogo wa form 2 ,,karibu watarudi shule kutoka likizo
 
Kwani huu mkaa ASA nguvu gani kuzuia negative energy
 
Haya mambo huku maeneo YA Pwani yameshamiri Sana, binafsi sijawahi yaamini na nina mabinti wa2 warembo Sana mmoja miez 5 mwingine miaka mi3 Na kila wapitapo Ni gumzo kwa uzuri wao Ila hawajawahi patwa Na hizi mambo japo majirani huwa hawaishi kuniambia mara sijui nimfunike mtoto kichwa nywele zake nzur, mara nimpake Wanja huwa nawaitikia tu Kisha nawapuuza na naisha yanaendelea.

Mungu aendelee kuwalinda mabinti zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…