Ufalme wa CHUMA usioshikamana na udongo siku za mwisho, ni ufalme wa aina Gani huu?

Mmezoea mizaha sana nyie Vijana....Punguza mizaha itaku cost one day
Jiwe walilolikataa waashi , hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni ; neno hili limetoka kwa Bwana , nalo ni ajabu machoni petu ? Mt 21:42
 
(Daniel 2:34-35) Jiwe lisilotokana na KAZI ya mikono limeelezewa humo!!

Jiwe Hilo baada ya kuisambaratisha sanamu Ile, likawa milima iliyoijaza Dunia yote🤔
 
Moja ya uongo uliosemwa sana kuhusu Vatican ni huu.
Asomaye na Afahamu.
Vatican haina sifa zinazotajwa kwa Utawala unaokaribia kuja.
Utawala wa dini na serikali (siasa) kwa mujibu wa huo unabii unaingia kwenye Roman Empire pekee (Dola la rumi la wakati huo).
Na huo ndiyo utawala ulio tesa sana watu duniani enzi hizo ukisemwa kama (mnnyama aliyekuwa na meno ya chuma kwenye unabii).

Unachanganya Madawa.
Huo utawala ulikuwa wa Rumi sio Catholic.
Catholic ilikuja kupata Zari tu baada ya viongozi wakubwa wa Rumi kujoin Catholic.
Kuna tofauti kubwa kati ya Rumi na Catholic.
Wakati wa utawala wa Rumi hata catholic kama kanisa waliipata pata.

Nb:- tuachane na habari zilizopita, Rumi imeshakufa, na catholic ipo kwenye kirere chake.
Hakuna namna Catholic itakuja kutawala Dunia.
Hata kama itajaribu(kitu ambacho hakiwezi tokea kabisa) watashughulikiwa na non Catholic hata kabla ya wasio wakristo hawajanyenyua mikono yao dhidi yale.

Kuna Utawala utakuja, Utawala huo ni wa Kidini na kiserikali.
Katika huu utawala ndiyo wakati ambao bible inasema umkili Yesu uuawe ama umkane uishi.
Katoliki hawajawai kuwa na shida na Uungu wa Yesu, ukienda vatican ukasema Yesu ni Mwana wa Mungu utarudi salama na zawad ya Rosary ila nenda Makka ukaseme hayo,unajua utakachokipata.

Dini yenye sifa inayoangukia huo unabii ni ISLAM.
na viasharia vya Islam kutawala Dunia viko wazi.
Ni jambo la Muda TU.
 
Unamaanisha sunni au Shia🤔
 
Salaam, Shalom!!

Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana.

Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya " NAFSI" zao Kwa mbegu za WANADAMU, lakini hawatashikamana.

Wajuvi wa mambo haya waje kufafanua, ufalme/ utawala huo ujao, ni ufalme/utawala wa aina Gani?

Karibuni 🙏
1)Ni matajiri na masikini
2)Ni wenye nguvu na wanyonge
 
kitabu cha THE BABYLON CODE kina majibu ya maswali mengi yenye utata hususani hilo ulilouliza
 
Salaam, Shalom!!

Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana.

Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya " NAFSI" zao Kwa mbegu za WANADAMU, lakini hawatashikamana.

Wajuvi wa mambo haya waje kufafanua, ufalme/ utawala huo ujao, ni ufalme/utawala wa aina Gani?

Karibuni 🙏
Ile miguu ya Chuma ulikuwa Utawala wa Roma; Majenerali wake watatu ndiyo waliokuja kuleta Tawala za Ufaransa, Netherlands na United Kingdom. Baadae UK ikawa na Nguvu zaidi ya Hizo Tawala nyingine mbili miaka ya 1800. Ilipofika wakati wa WW I UK na USA zikaform ile inaitwa special alliance inayoendelea mpaka leo. Ndiyo maana katika masuala ya kidunia utaona USA & UK huenda pamoja. Na hao ndiyo pia ni machampion wa Democracy, yaani Utawala unaotoa nafasi kubwa kwa wananchi kuzi hold their Governments accountable (na hii ndiyo concept ya Utawala kujaribu kujichanganya na Raia wake). USA & UK wamejaribu kuinadi concept hii ya Utawala Duniani. Ila andiko linasema watajaribu bila mafanikio. Ndicho tunachokiona kufail kwa Democracy Duniani. Na hivi karibuni hasa baadae ya suala la HAMAS, dunia imeshuhudia nchi za magharibi zikipata usumbufu sana Toka kwa wananchi wao kuhusiana na Sera zao kuelekea hiyo vita.
Hata hivyo, mpaka tunaufikia ule mwisho ikumbukwe kuwa USA/UK bado watakuwa ktk ile nafasi ya Mataifa yenye Nguvu zaidi. Iwapo yuko mtu anasubiri na kutarajia ati Russia au China wawapiku USA, basi atasubiri sana
 
Brother na wewe unaongea habari za Roho Mtakatifu?
Kwanini nisiongelee kwani wewe hauna Holly spirit?
Mimi ninaye ndani yangu,😁
Najua inachanganya ila waswahili wanasema msaka cha uvunguni..........
Niliingia Field hatari nilichokutana nacho Haya mambo ya Divine yana balaa sana
Hatimaye nikanasa now nimekua mature nime advance hayo maswala!
 
Kama kuna mapya uliyoyapata huko field mkuu tugawie na sisi Hayo maarifa

Kama kuna documentary au vitabu 🙏
 
Back
Top Bottom