Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Mkuu acha mazoea ya kutumia hayo mavidonge utakuja kukata motoHivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Utakuja kujiua kujiua aiseeHivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Mtakufa bure shauri yenu. Kwanini umpakie mtoto wa watu mkongo.
Kwann?Utakuja kujiua kujiua aisee
Sio kwa kunywa maziwaUnajihisi kichwa kinauma Sana?
Kula ndizi mbivu kwa wingi upate choo kikubwa kisha ukajisaidie.Chap kichwa kinapona.
Viagra mfumo wake wa kuitoa mwilini Ni kwa kujisaidia choo kikubwa.
Njoi gram 50,kumbe unaweza kukigawa nusuNi mara yako ya ngapi kuvitumia?
Kama Ni Mara ya kwanza,
ilipaswa kidonge Cha gram50 ukigawe nusu, Kisha umeze na maji mengi,
ila hakikisha uwe umekula umeshiba, Vingenvyo maji mengi afu una njaa, itakusabibishia kichefuchefu kikali.
Usije mtapikia binti wa watu kifuani[emoji4]
Sasa viagra ndo balaaKaka co mkongo huo
Hata hayasaidii chochote,Sio kwa kunywa maziwa
OK,am 45yrsDah! vijana wa siku hizi mnakwama wapi?
Anyway tuyaache hayo kunywa maji mengi ya baridi pia oga maji ya baridi
Then pumzika
NoUlitaka uache legacy?
Ulipima presha kabla haujaanza tumia hayo madude?
Kunywa konyogi...falla wewe.Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Kumbe!Hata hayasaidii chochote,
Viagra (sildenafil citrate) sio sumu ile [emoji4]