Ufanyaji kazi wa viagra

Ufanyaji kazi wa viagra

Kile Ni kilainisha damu,
Ili damu itembee spidi ifike kila pembe ya mwili wako, hadi mishipa midogo ya uume.

Ukizidisha dozi ndo inapenya Hadi mishipa midogo ya ubongo na kuijaza damu,ndo maana kichwa kikuuma.

Suala hapo Ni kutumia dozi sahii kulingana na mwili wako ulivyo, ndo wanashaur uanze na robo uku ukiskilizia mwitikio vipi.
Point mkuu
 
Kaja,nimepiga mbili anafosi anawai night shift,tumevutana mlangoni kanishinda nguvu,maana mashine ipo wima hadi mizizi,nguvu za juu zote zimehamia chini! Nasubiri ilale nikabugie maji baridi kupunguza ,hatari aisee
Iwekee barafu....pole sana kamanda
Kwanini umemnywea? Ni mpya, kala hela zako au shida nini??!
 
Kama ulimeza NJOI unapaswa ubalishe
,
Ni Viagra ya Bei rahisi sokoni yenye ubora hafifu mno ili kumudu soko ushindani.

Kwa beginners hata Kama uchumi hauruhusu sn, angalau uanze na ERECTO.

Hayo matakataka ya NJOI yanatenezwa hapo GONGO LA MBOTO na waswahili wenzetu Changamoto Sana.

Wengi wanalalamika
 
Kama ulimeza NJOI unapaswa ubalishe
,
Ni Viagra ya Bei rahisi sokoni yenye ubora hafifu mno ili kumudu soko ushindani.

Kwa beginners hata Kama uchumi hauruhusu sn, angalau uanze na ERECTO.

Hayo matakataka ya NJOI yanatenezwa hapo GONGO LA MBOTO na waswahili wenzetu Changamoto Sana.

Wengi wanalalamika
Namie naweza kutumia Erecto? nataka nitoe kama angela white
 
Kisungura (smart Gin) na piritoni Ni mmojawapo ya top depressant dunia nzima, zinashusha presha kwa Kasi ya ajabu Sana.

Ndo maana ukimgusa mtu aliekunywa visungura kuanzia 3 mwili wake Ni baridi kuliko kawaida, afu anakua na utulivu.

Ukimuongezea na piritoni ndo anachoka kabisa.

Vibaka na makahaba wanaozimisha walevi kwny mabaa, huwa changanyia piritoni kwny Pombe Kali. Utalala fofofo mpaka kesho yake mchana[emoji4]
Ni bahati mbaya icho kisungura mimi sikijui. Lakini moja ya side effect ya viagra ni kulower blood pressure, sasa kwa hali ya kawaida tu isingaliwezekana apewe vitu vya kupunguza zaidi presha ya damu yake akati ishashuka na ipo chini sababu ya viagra aliotumia.

Afu priton inauwezo wa kuongeza blood pressure na sio kushusha
 
Back
Top Bottom