Ufanyaji kazi wa viagra

Ufanyaji kazi wa viagra

Ni bahati mbaya icho kisungura mimi sikijui. Lakini moja ya side effect ya viagra ni kulower blood pressure, sasa kwa hali ya kawaida tu isingaliwezekana apewe vitu vya kupunguza zaidi presha ya damu yake akati ishashuka na ipo chini sababu ya viagra aliotumia.

Afu priton inauwezo wa kuongeza blood pressure na sio kushusha
Hapa ndo umenitupa kabisa rafiki yangu,
Sasa kama Ina lower ana haja Gani ya kutumia SI hata mjulusi hata simama?
 
Kama ulimeza NJOI unapaswa ubalishe
,
Ni Viagra ya Bei rahisi sokoni yenye ubora hafifu mno ili kumudu soko ushindani.

Kwa beginners hata Kama uchumi hauruhusu sn, angalau uanze na ERECTO.

Hayo matakataka ya NJOI yanatenezwa hapo GONGO LA MBOTO na waswahili wenzetu Changamoto Sana.

Wengi wanalalamika
Ipo sahil ya elfu sita
 
Kuendekeza hayo mavidonge sio vizuri kwasababu unaweza ufike mahali usijiweze naturally bila mavidonge.Na hiyo ni very worse situation...Ni bora kutumia virutubisho vya asili kama asali,karanga pweza nk..kwa utaratibu unaofaa.Pia ni muhimu kujenga tabia ya kufanya mazoezi na kunywa maji mengi.Kuwa na mawazo chanya pia inaongeza ufanisi....Vidonge sio vizuri,vinakupa furaha ya muda mfupi huku vikifubaza uwezo wako wa asili.
 
Ni bahati mbaya icho kisungura mimi sikijui. Lakini moja ya side effect ya viagra ni kulower blood pressure, sasa kwa hali ya kawaida tu isingaliwezekana apewe vitu vya kupunguza zaidi presha ya damu yake akati ishashuka na ipo chini sababu ya viagra aliotumia.

Afu priton inauwezo wa kuongeza blood pressure na sio kushusha
Tafuta taarifa sahii,
Viagra inaongeza presha maana usababisha damu ikimbie Kasi Sana.

Wanaopata low BP wakitumia viagra Ni wale waliotanuka mishipa, au Moyo mpana.

Wengi presha inapanda
 
Hapa ndo umenitupa kabisa rafiki yangu,
Sasa kama Ina lower ana haja Gani ya kutumia SI hata mjulusi hata simama?
Viagra ni ya moja ya "vasodilator" (inaifanya mirija ya damu inakuwa wazi zaidi, inaongeza upana wake, yaani uwezo wake wa ujazo unakuwa mkubwa zaidi). Kwa hali hiyo presha ya damu ni lazima ishuke.

Kumbuka Viagra inafanya kazi kwa kuongeza flow ya damu kwenywe uume, yaani inalazimisha damu nyingi zaidi ipelekwe kwenye mirija ya uume. Hivyo 1. Imepanua mirija ya uume, 2. Imeongeza flow ya damu kwenye mirija ya uume. Sasa litakuwa ni jambo la ajabu icho kimjulusi kisisimame
 
Mbona mi nameza hayanisaidii nikimeza kimoja au na nusu njoi ndio kwanza nawai kupiz sekunde ya tano mwaaa nimetumia kama mara tatu lakin watu mnavisifu mi nina matatz gan nikinywa maji lita kdg naweza dumu kwenye gemu angalau dakika mbil chali wakuu dawa gan kwa mtu kama mm zitanifaa
 
Kama ulimeza NJOI unapaswa ubalishe
,
Ni Viagra ya Bei rahisi sokoni yenye ubora hafifu mno ili kumudu soko ushindani.

Kwa beginners hata Kama uchumi hauruhusu sn, angalau uanze na ERECTO.

Hayo matakataka ya NJOI yanatenezwa hapo GONGO LA MBOTO na waswahili wenzetu Changamoto Sana.

Wengi wanalalamika
erecto shngp mkuu?
 
Back
Top Bottom