DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kwa anaeanza, ROBO ndio kipimo sahii.Njoi gram 50,kumbe unaweza kukigawa nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anaeanza, ROBO ndio kipimo sahii.Njoi gram 50,kumbe unaweza kukigawa nusu
Vile vinaongeza mapigo ya moyo na msukumo wa damu usje kuwa una tatizo la moyo ukajkuta chaliiKwann?
Halafu nilikunywa baada ya masaa mane ndio kikaanza kufanya kaziKwa anaeanza ROBO ndio kipimo sahii.
45yrsKama ni age hizi za below 50 Viagra ya nini mazee? Unakuta kijana kabisa anatumia hizi mambo
Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Hatari sanaVile vinaongeza mapigo ya moyo na msukumo wa damu usje kuwa una tatizo la moyo ukajkuta chalii
Kile Ni kilainisha damu,Kumbe!
Nafikiri ulikusudia kuandika alisaidiwa ili presha ipande na sio ishuke.Aisee, Alinusuriwa na first aid ya kisungura na piritoni ili presha ishuke asije kukata roho, maana binti ashajua jamaa ana kifafa kumbe hapana
Experience is the good teaacher😂😂😂😂😂😂😂😂Ni mara yako ya ngapi kuvitumia?
Kama Ni Mara ya kwanza,
ilipaswa kidonge Cha gram50 ukigawe nusu, Kisha umeze na maji mengi,
ila hakikisha uwe umekula umeshiba, Vingenvyo maji mengi afu una njaa, itakusabibishia kichefuchefu kikali.
Usije mtapikia binti wa watu kifuani[emoji4]
Kama ulishiba sana kabla,Halafu nilikunywa baada ya masaa mane ndio kikaanza kufanya kazi
Kisungura pombe!?Hizi Viagra kwa anaeanza,
anapaswa kuanza na Robo kidonge
Afu utaongeza nusu, mpk kizima kadri mwili unavoruhusu.
Kuna ustadhi mmoja alijua Viagra Ni Kama panado, Si kameza viwili kwa mkupuo (50g×2) afu kaenda kuonyesha uwezo.
Aisee, Alinusuriwa na first aid ya kisungura na piritoni ili presha ishuke asije kukata roho, maana binti ashajua jamaa ana kifafa kumbe hapana[emoji4]
Lazima abake kuku au mimea😂😂😂😂😂Kwahiyo uliemmezea viagra hajaja??? Imesimama wima tu au imekuaje....pole fundi
Nasikia Kuna miligram 100 na 150??Hizi Viagra kwa anaeanza,
anapaswa kuanza na Robo kidonge
Afu utaongeza nusu, mpk kizima kadri mwili unavoruhusu.
Kuna ustadhi mmoja alijua Viagra Ni Kama panado, Si kameza viwili kwa mkupuo (50g×2) afu kaenda kuonyesha uwezo.
Aisee, Alinusuriwa na first aid ya kisungura na piritoni ili presha ishuke asije kukata roho, maana binti ashajua jamaa ana kifafa kumbe hapana[emoji4]
Nilishiba sana,Na nilikunywa maji mengiKama ulishiba sana kabla,
Au ulimeza na maji baridi,
Lazima itachelewa kufanya kazi
Ufanyaji kaszi wa viagra ya mzungu ili isimame bado ni lazima usisimuliwe, ukiondoa kabisa mawazo ya sex na kuisisimua haiwezi kusimama utaishia kupata sides effects za viagra tu basi.Kwahiyo uliemmezea viagra hajaja??? Imesimama wima tu au imekuaje....pole fundi
Kaja,nimepiga mbili anafosi anawai night shift,tumevutana mlangoni kanishinda nguvu,maana mashine ipo wima hadi mizizi,nguvu za juu zote zimehamia chini! Nasubiri ilale nikabugie maji baridi kupunguza ,hatari aiseeKwahiyo uliemmezea viagra hajaja??? Imesimama wima tu au imekuaje....pole fundi
Kisungura (smart Gin) na piritoni Ni mmojawapo ya top depressant dunia nzima, zinashusha presha kwa Kasi ya ajabu Sana.Nafikiri ulikusudia kuandika alisaidiwa ili presha ipande na sio ishuke.
YapKisungura pombe!?