Ufanyaji kazi wa viagra

Ufanyaji kazi wa viagra

Next time usitumie hayo madude ,ukiwa umeandaa show hakikisha unapiga supu ya ngombe nzuriii iwe supu kweli + mboga majani+ yai la kienyeji,, kabla ya kupiga hiyo supu tanguliza maji lita 1 utakuja kushukuru! Sasa hapo tafuta papai kula nusu papai ikipendeza na vipeke vyake chapu uwende toi Mzee wangu pole sana
 
Mm nilikuwa na ahadi na demu kasema anakuja gheto alikuwa kala hela zangu nyingi nikasema huyu ngoja nijaribu yale maviagra ingawa nilikuwa sijawahi kutumia Viagra wee si nikanywaa kabisa sildenafil citrate 50 mg demu kala unyoya hakutokea muda huo aisee toka siku hiyo sijawahi kutumia na sitotumia tena hayo madonge kichwa mgongo ovyo ovyo pressure inashuka mara inapanda yaan hivi nyie wengine mnawezaje daa demu alikuja baada ya siku 2
Kuna mademu wengine waende tu motoni maana wanakera wanaudhi mtu umeshajiandaa halafu haji wapuuzi kweli
 
Kwa vidole!
Hapo mkuu umebonyeza sana bhana😆😆😆.

Kwa hiyo unataka kukojoza bila kukojoa ili iwe nini?

Hizo kazi ni za midoli hizo, kwa binadamu unatakiwa kuwajibika mwenyewe, siyo kufanyiwa, kusaidiwa ama kuigiza.

Mambo hayo yachukulie kama ambavyo unaenda "haja", hauwezi kuwakilishwa na mtu, lazima uwajibike mwenyewe.
Kuna wanawake wanafika kwa romance tu ukiingiza mboo unaenda timiza haja zako tu.hata wanawake wasiofika kileleni kwa wakat wanamatatizo ya kisaikolojia sasa vijana Wa sasa wanaingia katika mkumbo mbaya sana wakutumia hayo madawa
 
Watu wana lifestyle mbaya sana.... yaani mtoto wa miaka 45 anatumia hayo mavidonge wakati sisi wazee hatutumii na mzigo upo fresh tu......so sad
 
Hii nilicho mfanyia mke wangu hadi alilia sana nilipiga bila huruma hadi raha yaani
 
Kisungura (smart Gin) na piritoni Ni mmojawapo ya top depressant dunia nzima, zinashusha presha kwa Kasi ya ajabu Sana.

Ndo maana ukimgusa mtu aliekunywa visungura kuanzia 3 mwili wake Ni baridi kuliko kawaida, afu anakua na utulivu.

Ukimuongezea na piritoni ndo anachoka kabisa.

Vibaka na makahaba wanaozimisha walevi kwny mabaa, huwa changanyia piritoni kwny Pombe Kali. Utalala fofofo mpaka kesho yake mchana[emoji4]
Mkuu umetema Cheche (Madini) kwenye huu Uzi, Congratulations kwa madini
 
Kama ulimeza NJOI unapaswa ubalishe
,
Ni Viagra ya Bei rahisi sokoni yenye ubora hafifu mno ili kumudu soko ushindani.

Kwa beginners hata Kama uchumi hauruhusu sn, angalau uanze na ERECTO.

Hayo matakataka ya NJOI yanatenezwa hapo GONGO LA MBOTO na waswahili wenzetu Changamoto Sana.

Wengi wanalalamika
Duh[emoji3447][emoji3447]
 
Mbona mi nameza hayanisaidii nikimeza kimoja au na nusu njoi ndio kwanza nawai kupiz sekunde ya tano mwaaa nimetumia kama mara tatu lakin watu mnavisifu mi nina matatz gan nikinywa maji lita kdg naweza dumu kwenye gemu angalau dakika mbil chali wakuu dawa gan kwa mtu kama mm zitanifaa
Bado aujasema
 
Back
Top Bottom