Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Fanya mazoezi, kula vizuridah nouma ila mnanitamanisha mwenzenu wa kimoja chali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mazoezi, kula vizuridah nouma ila mnanitamanisha mwenzenu wa kimoja chali
Hili la kuliwa hela kumbe lina athari kubwa kwenye mapenzi kwa watu wengi!Iwekee barafu....pole sana kamanda
Kwanini umemnywea? Ni mpya, kala hela zako au shida nini??!
Nenda kagoogle Viagra Ina lower blood pressure na Dawa maalum ilitengenezwa kwa ajili ya watu wenye shida ya hypotension ila side effects zake zikaja kuonekana uume unasimama sana wagonjwa waliokuwa wanatumia.Hapa ndo umenitupa kabisa rafiki yangu,
Sasa kama Ina lower ana haja Gani ya kutumia SI hata mjulusi hata simama?
Erecto elfu 2Ipo sahil ya elfu sita
Haijawa confirmedKuendekeza hayo mavidonge sio vizuri kwasababu unaweza ufike mahali usijiweze naturally bila mavidonge.Na hiyo ni very worse situation...Ni bora kutumia virutubisho vya asili kama asali,karanga pweza nk..kwa utaratibu unaofaa.Pia ni muhimu kujenga tabia ya kufanya mazoezi na kunywa maji mengi.Kuwa na mawazo chanya pia inaongeza ufanisi....Vidonge sio vizuri,vinakupa furaha ya muda mfupi huku vikifubaza uwezo wako wa asili.
Acha ushamba Ina lower blood pressure .Tafuta taarifa sahii,
Viagra inaongeza presha maana usababisha damu ikimbie Kasi Sana.
Wanaopata low BP wakitumia viagra Ni wale waliotanuka mishipa, au Moyo mpana.
Wengi presha inapanda
Ukinywa unatakiwa ukae nusu saa kwanzaMbona mi nameza hayanisaidii nikimeza kimoja au na nusu njoi ndio kwanza nawai kupiz sekunde ya tano mwaaa nimetumia kama mara tatu lakin watu mnavisifu mi nina matatz gan nikinywa maji lita kdg naweza dumu kwenye gemu angalau dakika mbil chali wakuu dawa gan kwa mtu kama mm zitanifaa
sikuwa kwenye moodAbove 50 wanamudu game, wewe 45 unameza viagra.[emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Acha ujuaji kilaza wewe! Za elfu sita Pharmacy zenu za tandale hawawezi kuweka,huko mpo masikini watupu!Erecto elfu 2
Vega elfu 2
Hizo ndo best ya elfu 6 ndo nini au unapigwa.