Uko sahihi kabisaKwa jinsi Morocco wanavyocheza. Ufaransa atapigwa 2-0 kabla ya HT
Morocco anawachezaji majeruhi 4 kwenye kikosi chake cha kwanza 1 kadi nyekundu mojaWatu mnaichukulia poa Sana Morocco , wanafungwa manne , wao wamekaa tuu, ufaransa wasipowaheshimu Morocco wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko , ni nidhamu Yao dhidi ya hawa waarabu ndo itawaokoa , Kwa mtu aliyeangalia mechi zote za Morocco , atakubali kuwa hakuna timu ya kuitisha Morocco , hata kama ikifungwa labda gap la goli moja tuu , na sio manne kama unavyotaka kutuaminisha
Wewe una chuki na wa Morocco, keanini usiache tu kazi ya utabiri baada ya kuumbuka kwenye uzi wako wa awaliMwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia.
Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule isipokuwa tofauti ni kwamba wanashambuliwa sana na golikipa (Bono) amekuwa akiokoa jahazi. Pia mara kadhaa miamba ya goli imewaokoa.
Hatari katika lango la Morocco itapelekea magoli manne kufungwa katika mechi hiyo. Natarajia nao pia watapata walau goli moja wafute machozi.
Mbappe, Giroud, Griezman, Dembele.
Hata mimi nimewapongeza na kuonesha udhaifu wao.Sio kazi ndogo jqpo watu wanajaribu kubeza ushindi wao ambao wamekuwa wakiupata ila wakumbuke sio rahisi
Morroco lazima tuwapongeze kwa hatua ya robo fainali wanayokwenda kuishia
Timu kubwa zilizoshindwa kuifunga Morocco kwenye Kombe la Dunia hili ni Croatia, Belgium, Spain, Portugal. Si timu ya kubeza tena hii.Watu mnaichukulia poa Sana Morocco , wanafungwa manne , wao wamekaa tuu, ufaransa wasipowaheshimu Morocco wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko , ni nidhamu Yao dhidi ya hawa waarabu ndo itawaokoa , Kwa mtu aliyeangalia mechi zote za Morocco , atakubali kuwa hakuna timu ya kuitisha Morocco , hata kama ikifungwa labda gap la goli moja tuu , na sio manne kama unavyotaka kutuaminisha
Mimi wala sifanyi betting. Raha ya mpira ndio hii kutaniana na kubeza mpinzani hapa na pale.KIZAZI Cha utabiri.
KIZAZI Cha kamali.
KIZAZI Cha Zinaa.
KIZAZI Cha nyoka.
PUNGUZENI UTABIRI VIJANA MUDA HUWA UNATOA MAJIBU.
WAKATI NI MWALIMU MWEMA SANA
Lazima watakuwepo uwanjani wakiona mbappe anapita kwa kasi, griezman na dembele wakipiga pasi za hatari huku giroud akifunga kwa vichwa.Wakati hao Morocco wanafungwa magoli 4 watakuwa wamekaa uwanjani, au na wenyewe watakuwa wanacheza kama hao Ufaransa?
Kombe la dunia 2018 watu walisema hivi hivi kuhusu Croatia lakini wakaishia kupigwa tatu mechi ya fainali.Watu mnaichukulia poa Sana Morocco , wanafungwa manne , wao wamekaa tuu, ufaransa wasipowaheshimu Morocco wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko , ni nidhamu Yao dhidi ya hawa waarabu ndo itawaokoa , Kwa mtu aliyeangalia mechi zote za Morocco , atakubali kuwa hakuna timu ya kuitisha Morocco , hata kama ikifungwa labda gap la goli moja tuu , na sio manne kama unavyotaka kutuaminisha
Kwanini niwe na chuki? Mbona Brazil na Belgium pia nilisema wataondoshwa na hukuja kusema ni chuki? England pia nilisema ataondolewa na Ufaransa mbona hukusema ni chuki?Wewe una chuki na wa Morocco, keanini usiache tu kazi ya utabiri baada ya kuumbuka kwenye uzi wako wa awali
Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka. Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.www.jamiiforums.com
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwanini niwe na chuki? Mbona Brazil na Belgium pia nilisema wataondoshwa na hukuja kusema ni chuki? England pia nilisema ataondolewa na Ufaransa mbona hukusema ni chuki?acha chuki mkuu