Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

Watu mnaichukulia poa Sana Morocco , wanafungwa manne , wao wamekaa tuu, ufaransa wasipowaheshimu Morocco wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko , ni nidhamu Yao dhidi ya hawa waarabu ndo itawaokoa , Kwa mtu aliyeangalia mechi zote za Morocco , atakubali kuwa hakuna timu ya kuitisha Morocco , hata kama ikifungwa labda gap la goli moja tuu , na sio manne kama unavyotaka kutuaminisha

Nakubaliana na wewe 100! Siyo rahisi kama anavyotaka kutabiri. Team kama Spain, Portugal siyo team rahisi kama mtoa mada alivyoziweka katika daraja ambalo Morocco kawafunga hao kirahisi. Ufaransa inatakiwa iwaheshimu sana Morocco na kwa kweli walistahili. Kwa Afrika nchi zingine kubwa kwenye mpira kama Nigeria, South Africa, Ghana, Egypt, Cameroun, Tunisia, Senegal, Algeria, Congo DR nk zijifunze spirit waliyoionesha Morocco
 
Wewe una chuki na wa Morocco, keanini usiache tu kazi ya utabiri baada ya kuumbuka kwenye uzi wako wa awali

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app

Chuki binafsi tu na wivu unamkumba huyu jamaa. Hata hivyo kaangukia pua
 
Kwenye mpira wa miguu bahati inahusika sana. Kama uliangalia mechi ya man city na real madrid ucl iliyopita utaelewa ninachoongelea.

Hata juzi kwenye Croatia na Brazil, yule kipa wa Croatia aliokoa baadhi ya mipira mpaka watazamaji tunabaki midomo wazi. Pia Croatia hawakuwa na attempt hata moja on target lakini wakasawazisha goli dakika ya 117. Ile ni bahati.

Morocco wameishi kwenye bahati sana na sina uhakika kama itaendelea au lah.
Kwa hiyo kipa kuokoa ni bahati?

Unachopaswa kujua hakuna bahati pasipo na uwezo. Bahati ipo ila bila uwezo huwezi kupata hiyo bahati, utapigwa za kutosha. Kipa kuokoa sio bahati ni uwezo. Timu kutengeneza shambulizi dk. Ya 117 na kufunga hakuna tofauti na timu iliyotengenza shambulizi dk.ya 40. Huwezi kusema Morocco wamefuzu semi fainal kwa sababu ya bahati tu, je miaka ya nyuma walikuwa hawafuzu kwa sababu ya kukosa bahati tu? Akina Senegal, Ghana, Tunisia , Cameroon wametolewa sababu ya kukosa bahati?
 
Katika maandishi yangu kila pahala nimeeleza kwamba Morocco ni timu nzuri na inatembea kwenye bahati katika michuano hii.

Brazil na Portugal wote wana timu nzuri lakini hawana bahati kama ilivyokuwa kwa Spain, Uholanzi na Japan.
 
Timu nzuri maana yake imekamilika kila idara. Kipa kushindwa kuokoa penati maana yake hiyo timu ina upungufu kwenye nyanja hiyo. Wachezaji kupiga hovyo penati maana yake hiyo timu inaupungufu kwenye nyanja hiyo.
 
Morocco mjiandae kulala na viatu. Bado masaa 21 mbungi lipigwe.
 
Morocco hawataki watu wanafiki kama ww mechi ya Spain vs Morocco watu wote walishabikia Spain na hawakuipa nafasi ikaja Portugal vs Morocco kila mtu akasema ndio mwisho wake wakapita mkaanza unafiki wa kuwashabikia wakawakataa na leo tena mmeanza unafiki wote mnaipa nafasi France akishinda Morocco mtaanza tena unafiki wakuishabikia nikwambie tu yale maneno yote ya wachezaji wa MORROCO hayakuwa kwa bahati mbaya na ilikuwa kwasababu ya wanafiki wachache kama nyinyi mnaodhara Africa haiwezi kufanya chochote wanafiki wakubwa.
 
Mimi siwezi kushabikia morocco, wanacheza aina ya mpira nisioupenda. Leo watafungwa na ufaransa magoli manne.
 
Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia.

Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule isipokuwa tofauti ni kwamba wanashambuliwa sana na golikipa (Bono) amekuwa akiokoa jahazi. Pia mara kadhaa miamba ya goli imewaokoa.

Hatari katika lango la Morocco itapelekea magoli manne kufungwa katika mechi hiyo. Natarajia nao pia watapata walau goli moja wafute machozi.

Mbappe, Giroud, Griezman, Dembele.
full time watatoa draw, mfaransa anaenda kutolewa kwenye penalts
 
Back
Top Bottom