Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

Watu mnaichukulia poa Sana Morocco , wanafungwa manne , wao wamekaa tuu, ufaransa wasipowaheshimu Morocco wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko , ni nidhamu Yao dhidi ya hawa waarabu ndo itawaokoa , Kwa mtu aliyeangalia mechi zote za Morocco , atakubali kuwa hakuna timu ya kuitisha Morocco , hata kama ikifungwa labda gap la goli moja tuu , na sio manne kama unavyotaka kutuaminisha
Updates?
 
Wewe una chuki na wa Morocco, keanini usiache tu kazi ya utabiri baada ya kuumbuka kwenye uzi wako wa awali


Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Umejificha masjid? Njoo ulete maneno.
 
Embu kwenye uzi wako tupe sababu za kiufundi kwanini Ufaransa amfunge Morocco magoli yote hayo.
Maana Morocco hadi sasa ndio inayoongoza kwa safu bora ya kiulinzi.
Tokea mwezi wa tisa kacheza dhidi ya
Morocco 2 chile 0
Paraguay 0 Morocco 0
Morocco 3 Georgia 0
Morocco 0 Croatia 0
Belgium 0 Morocco 2
Canada 1 Morocco 2
Morocco 0 Spain 0
Morocco 1 Portugal 0

Michezo nane, wameruhusu goli moja tu tena la kujifunga, kipi kinachokupa ujasiri wa kuona kuwa France wanaweza kupata magoli kirahisi hivyo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nakusibiria ndugu mchambuzi ulete takwimu.......

Siku nyingine uwe unatusikiliza wakongwe.
 
Huyo Jamaa timu yake ilikuwa Brazil ilishatoka, anajaribu kujifariji kwa kuombea njaa asiyewapenda.

Mi nashabikia France, lakini nina wasiwasi sana na Morocco na Croatia kwa bahati na umoja wao, huenda zikakutana fainali.
Kijana wachambuzi wakongwe tukiandika uwe unasoma kwa kutulia.
 
Hana sababu huyo anaandika kwa mihemko tu. Bahati inaendana na uwezo. Uwezo wa Bono unasidia, uwezo wa Amrabat unasaidia, uwezo wa Ziyech unasaidia , uwezo wa en nesyr unasaidia n.k. Huwezi kutoshana nguvu na spain eti sababu ya bahati tu.
Lete maelezo ya uwezo sasa kijana. Jifunze kusikiliza wazoefu.
 
Kwa hiyo kipa kuokoa ni bahati?

Unachopaswa kujua hakuna bahati pasipo na uwezo. Bahati ipo ila bila uwezo huwezi kupata hiyo bahati, utapigwa za kutosha. Kipa kuokoa sio bahati ni uwezo. Timu kutengeneza shambulizi dk. Ya 117 na kufunga hakuna tofauti na timu iliyotengenza shambulizi dk.ya 40. Huwezi kusema Morocco wamefuzu semi fainal kwa sababu ya bahati tu, je miaka ya nyuma walikuwa hawafuzu kwa sababu ya kukosa bahati tu? Akina Senegal, Ghana, Tunisia , Cameroon wametolewa sababu ya kukosa bahati?
Uwezo umeenda wapi leo?
 
Nakusibiria ndugu mchambuzi ulete takwimu.......

Siku nyingine uwe unatusikiliza wakongwe.
Magoli 4 uliyobetia yako wapi?

Watu wamekuambia hawezi kufungwa magoli yote hayo ata kama amefungwa
 
Morocco hawataki watu wanafiki kama ww mechi ya Spain vs Morocco watu wote walishabikia Spain na hawakuipa nafasi ikaja Portugal vs Morocco kila mtu akasema ndio mwisho wake wakapita mkaanza unafiki wa kuwashabikia wakawakataa na leo tena mmeanza unafiki wote mnaipa nafasi France akishinda Morocco mtaanza tena unafiki wakuishabikia nikwambie tu yale maneno yote ya wachezaji wa MORROCO hayakuwa kwa bahati mbaya na ilikuwa kwasababu ya wanafiki wachache kama nyinyi mnaodhara Africa haiwezi kufanya chochote wanafiki wakubwa.
Lete maneno muda huu.
 
Hujalazimishwa kusoma. Pole kwa yaliyokukuta huko arabuni.
Sio mshangiliaji wa mpira ,, nashangaa thread nyingi Sana
Tafuta kazi broda

Jobless
 

Attachments

  • Screenshot_20221215-011400.png
    Screenshot_20221215-011400.png
    25.4 KB · Views: 1
Timu ambaye imeconced magoli 2 tu kutoka wachezaji pinzani hadi sasa ni Morocco pekee. Kama kuna tuzo ya kutofungwa sana basi Morocco wanaibeba
Kafungwa matatu. Je yeye kafunga mangapi?
 
Back
Top Bottom