Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

Updates?
 
Umejificha masjid? Njoo ulete maneno.
 
Nakusibiria ndugu mchambuzi ulete takwimu.......

Siku nyingine uwe unatusikiliza wakongwe.
 
Huyo Jamaa timu yake ilikuwa Brazil ilishatoka, anajaribu kujifariji kwa kuombea njaa asiyewapenda.

Mi nashabikia France, lakini nina wasiwasi sana na Morocco na Croatia kwa bahati na umoja wao, huenda zikakutana fainali.
Kijana wachambuzi wakongwe tukiandika uwe unasoma kwa kutulia.
 
Hana sababu huyo anaandika kwa mihemko tu. Bahati inaendana na uwezo. Uwezo wa Bono unasidia, uwezo wa Amrabat unasaidia, uwezo wa Ziyech unasaidia , uwezo wa en nesyr unasaidia n.k. Huwezi kutoshana nguvu na spain eti sababu ya bahati tu.
Lete maelezo ya uwezo sasa kijana. Jifunze kusikiliza wazoefu.
 
Uwezo umeenda wapi leo?
 
Nakusibiria ndugu mchambuzi ulete takwimu.......

Siku nyingine uwe unatusikiliza wakongwe.
Magoli 4 uliyobetia yako wapi?

Watu wamekuambia hawezi kufungwa magoli yote hayo ata kama amefungwa
 
Lete maneno muda huu.
 
Timu ambaye imeconced magoli 2 tu kutoka wachezaji pinzani hadi sasa ni Morocco pekee. Kama kuna tuzo ya kutofungwa sana basi Morocco wanaibeba
Kafungwa matatu. Je yeye kafunga mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…