Mkuu hamnaga muarabu moderate labda awe na damu ya kiahudi, sifa kuu ya muarabu ni kujiona iko superior siku zote.Uzi ufungwe,mfaranza kwa miaka mingi ana ile inaitwa assimilation policy,sasa hawa waarabu they dont want to comply with it,wanataka kupractice culture za kiarabu kwenye nchi ya kikafir,
Makocha wa kizungu wanatambua chezaji akiwa amefunga mwezi wa ramadhani kipindi cha mechi anakuwa hana calories za kutosha,au kukatisha mazoezi kwenda kuswali .waarbu moderete wanafanikiwa ila wale extremist ngumu kuwabeba