Ufaransa huwapa kipaumbele watu weusi kuliko waarabu kwenye timu Taifa na mambo mengine hii sio sawa

Ufaransa huwapa kipaumbele watu weusi kuliko waarabu kwenye timu Taifa na mambo mengine hii sio sawa

Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)


Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Kwanini Argentina hakuna mwarabu wala mtu mweusi?
 
Wafanyakazi waliojenga viwanja vya Qatar hawajalipwa stahiki zao.
Mwaraabu ni mtu ambaye muda wote yupo kwa ajili ya machafuko. Mpe bunduki ataanza kuua mpaka ndugu zake, mfano hai ni LIBYA. Al shababy, Boko Haram, Al -qaeda, Teliban, ISIS n.k utasema ni Marekani mbona kwenye nchi za Asia kama China, Japan, India, Vietnam ambako waabudu dragon, ng'ombe n.k hakuna machafuko ila kwa nchi zenye imani ya mwaarabu ikiwemo Pakistan kuna machafuko?
Boko Haram ilianzishwa na Mohamed Ali 2002 kwa lengo la kupinga elimu ya magharibi yaani elimu ya darasani, mavazi n.k Akitaka elimu iwe ya madrasa. Je, elimu ya mashariki ya kati ni elimu ya mwafrika? Sasa hivi anaua ndugu zake wanaijeria kwa dini ya mwaarabu.
Morocco baada ya kushinda zile mechi, ushindi ni kwa waraabu wenzao na waislamu ila nafasi ameipata Afrika.
Wamefanya sana slave trade, ndugu zetu wameuwawa sana na hawa watu wanaojiita waarabu
Huo ndiyo ufedhuli wa Waarabu.
Tofauti hii na Waafrica weusi ni ipi???

Watu wa Mali , Burkuna Be, Guinea, Congo, Birundi, Agola, Nigeria, n.k
 
Kuna Muda mzungu alikuwa kipa tu jana.

Weusi wote 10..!!!

Ha ha ha haaaa.. Ilikuwa lazima wapasuke
 
Kwanini Argentina hakuna mwarabu wala mtu mweusi?
Argentine War of independence 1810-1818 hiyo vita ndio waliwauwa sana waafrika waliopelekwa huko kama watumwa kutoka sub- Saharan Africa
Kuna mabaki bado

Na kukuongezea tu Carlos Menem alikuwa Rais wa Argentina [emoji1033] na asili yake alikuwa ni mwarabu wa Syria

Hebu imagine sisi waswahili tulivyo na ubaguzi halafu wenzetu wanawapa uraisi kabisa

Na kuna nchi 11 Latin America ambazo zilikuwa na maraisi wenye asili ya kiarabu kama hujasoma acha nikuelimishe kidogo

Hata kwenye mpira angalia kuna wenye uchotara

Sisi waziri msomali kelele mpaka mbinguni
 
Mkuu hamnaga muarabu moderate labda awe na damu ya kiahudi, sifa kuu ya muarabu ni kujiona iko superior siku zote.
Ila mwamba ni muongo kinoma ulishaendaga Lebanon huwez fikiri ni nchi ya kiarabu Iko moderate sana, alafu Kuna waarabu wakristo ni tofauti na waislamu
 
Siyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
Point
 
Back
Top Bottom