Ufaransa huwapa kipaumbele watu weusi kuliko waarabu kwenye timu Taifa na mambo mengine hii sio sawa

Mkuu hamnaga muarabu moderate labda awe na damu ya kiahudi, sifa kuu ya muarabu ni kujiona iko superior siku zote.
 
Kwann waarabu wafaransa wengine hawaitwi
Deschamps anamtumia Giroud kucheza Kama Classic no.9 Benzie huwa hachezi vile Mana huwa anaenda kushoto na kulia ambapo tayari wakufanya kazi hiyo wapo.
Tisa ya kizamani iliyobakia France Olivieree.
#Tuiweke kisoka Zaid
 
mechi inachezwa jioni ya saa ngapi
 
Victoire tuambie hili Lina ukweli ?....

Sio kwamba hao weusi wanapata nafasi sababu ya ubora na viwango vyao vikubwa ?...
 
Sasa kama wanajikuta wao wapo tayar kufa Kwa ajili ya culture zao si wabaki wafe nchini kwao kuliko kwenda nchi za makafir
Mkuu uislamu unaruhusu kutumia mali ya kafir kwa akili sio kwa nguvu kueneza uislamu ndo wanachofanya waarabu wa kiwa Ulaya.
 
Vipi kuhusu Zidane?
 
Si wanaenda kuchoma watu visu kwenye nchi zao
Hata Wazungu wenyewe kwa wenyewe wanauana kwa kupigana risasi, tofauti na waarabu hawawezi kuua mwanamke au mtoto, lakini wazungu wana vamia shule za chekechea uko Marikani na kuwamiminia lisasi watoto wadogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…