Benzie anajihesabia Haki babu.Kwann waarabu wafaransa wengine hawaitwi
Wafaransa wanajua mwarabu kuliko wewe, Wana akili kuliko wewe, wamesema kuliko wewe , Wana fedha kuliko wewe.Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa
Kuna jambo sio zuri
Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu
Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend
Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao
Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi
Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi
Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)
Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi
Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama
Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina
Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina
Asante
Na wengi Ni taifa alilotawala ndio huwa kipaumbeleSababu Mali ambazo Ufaransa anaiba kwenye hizo nchi za magharibi ya afrika ni... Mara elfu... Yaani kuwaweka wachezaji 13 uwanjani au 20 Kwao si kitu kuliko hizo Mali wanazobeba kwenye nchi asili ya Hao watumwa WA kizazi kipya
Mbaguzi no moja ndio huona yy anabaguliwa. Kuna watu akili zao ziko matakoni.Wafaransa wanajua mwarabu kuliko wewe, Wana akili kuliko wewe, wamesema kuliko wewe , Wana fedha kuliko wewe.
Jiulize kwenye biashara ya utumwa , wale waafrika waliopelekwa Marekani na nchi za ulaya, waliruhusiwa kuzaliana na kuongezeka na ndoa baina ya waafrika na wazungu haikuwa tatizo, ila wale weeengi waliopelekwa uarabuni kwa makundi waliishia wapi?
Jiulize, waarabu kwenye nchi za ulaya wanaruhusiwa kujenga misikiti na kuhubiri imani Yao bila shida lakini nenda muhubiri wa Kikristu kwenye ardhi ya kiarabu kuhubiri ukristu au ujenge kanisa au muarabu abadikishe dini uone. Hayo machache yanayoishia kuelezea mwarabu ni binaadamu wa aina gani
Hili nimeliona kwa macho kuhusu Egyptian wao hata awe Dr Emirates au uk atabaki kuwa na uraia wake kwa upendo wa nchi yake na hata akifa atazikwa kwao huo ni Uzalendo wa kuipenda nchi yao na si vingineMuarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
Wa black Africans hatuna misimamo unaweza hata kuuza au kukana ukoo wako mzima ili uweze kupate Visa ya kuenda Marekani, very silly people we ur.Hili nimeliona kwa macho kuhusu Egyptian wao hata awe Dr Emirates au uk atabaki kuwa na uraia wake kwa upendo wa nchi yake na hata akifa atazikwa kwao huo ni Uzalendo wa kuipenda nchi yao na si vingine
Nimefanya nao kazi sana Wa misri na wanaita nchi yao Ummu duniya yaani Mama wa mataifa yote
Ila cha kushangaza wale black Americans hawajiiti waafrika hata siku moja bali wachache sana ila wengi wanakuambia I am not african but American
Uliza black yeyote alieko usa au uk kuwa je wewe umefanya efforts zozote za kujua una chimbuko la wapi?
Atakuambia hapana ila cha ajabu zaidi wazungu kutwa wanatafuta nasaba zao bila kujali walizaliwa wapi bali wanataka kujua babu zao walitoka wapi
Hili la DNA hata sisi tunalikimbia
Siyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.Muarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
Acha wao Kwa wao wauwane sio wewe utoke kwenu na shida zako ukaanze kuchoma watu visuHata Wazungu wenyewe kwa wenyewe wanauana kwa kupigana risasi, tofauti na waarabu hawawezi kuua mwanamke au mtoto, lakini wazungu wana vamia shule za chekechea uko Marikani na kuwamiminia lisasi watoto wadogo.
Kwamba mtu apate Namba kisa Mwarabu? Unaumwa ?Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa
Kuna jambo sio zuri
Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu
Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend
Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao
Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi
Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi
Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)
Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi
Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama
Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina
Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina
Asante
Zinedine Zidane ni Muarabu. Huyo benzema kacheza timu ya Taifa miaka mingi tu. Sasa huyo Benzema anataka aingie kwenye timu ikiwa robo fainali halafu waachwe walioifikisha timu hiyo robo fainali?Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa
Kuna jambo sio zuri
Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu
Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend
Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao
Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi
Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi
Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)
Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi
Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama
Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina
Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina
Asante
Hizo ndo propaganda za kipumbavu kabisa, nchi kama Jordan Syria Iraqi kuna 100% freedom of worship kwa yoyote bila ubaguzi, wewe umesha ona mamissionaries wangapi wa kikristo wa kitokea uarabuni?....tena nikuambie mkristo wa kule sio sawa na mkristo Mpale wa hapo, hata wakija uko wakifungua biashara wanapendelea kuajili wa Islamu japo wao ni wakristo kule neenda Cairo Bank ujionee unamlikiwa na orthodox wa Egyt ila wafanya kazi wao wote ni waislamu hamna RC hata mojaSiyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
Sio waarabu wengi wanabadili dini bali wengi ni wakristoSiyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
Hatim Ben arfa,adil Rami,kina Gundouiz,Samri Nasri ni wasukuma waleWakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa
Kuna jambo sio zuri
Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu
Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend
Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao
Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi
Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi
Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)
Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi
Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama
Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina
Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina
Asante
Eti kusambaza UISLAMU shida ndo zinawapeleka mbona wa kutoka emirate,Qatar,saud hawaendi kusambaza awo wanaotoka Syria ndo wanaujua uislam sanaMkuu uislamu unaruhusu kutumia mali ya kafir kwa akili sio kwa nguvu kueneza uislamu ndo wanachofanya waarabu wa kiwa Ulaya.
Una mtindio wa ubongoWakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni