Ufaransa huwapa kipaumbele watu weusi kuliko waarabu kwenye timu Taifa na mambo mengine hii sio sawa

Kwann waarabu wafaransa wengine hawaitwi
Benzie anajihesabia Haki babu.
Lakini Ni huyo huyo alitoa kauli za hovyo kwa Mwalimu huyu huyu aliyemwita kikosini.
Anatoa kauli za hovyo mwezi unaofata anadakwa na polisi kwa kumhujumu mchezaji mwenzie ..... Nn maana ya team
 
Ulichoandika sio sahihi, Timu ya Taifa ya Ufaransa ukizingua, kuja kuichezea tena huwa inakuwa ishu, hata uwe na kiwango kikubwa vipi! Mifano ipo hai, Eric Cantona, David Ginola, Nicholas Anelka. Pamoja ukali wao wote walifungiwa vioo. Na wachezajj wengi wa kiarabu wana rekodi za ukorofi, mfano Samir Nasri alivyogoma kumpisha siti Captain(Thiery Henry) kipindi hicho. Zidane kumtandika kichwa Materazi, na kipindi yuko Juventus alikuwa anachezea sana kadi sababu ya vurugu, kilichosaidia nje ya uwanja hana shida. Na wengine hawaitwi sababu viwango vyao vya kawaida. Hivyo wanaamua kurudi Afrika kwenye asili yao. Pia nchi za kiarabu zina mazingira bora zaidi yanayoshawishi hao jamaa kurudi kuzichezea tofauti na zetu za wabantu, rushwa na upigaji ni mwingi. Miongoni mwa wachezaji wa kiarabu waliochezea ufaransa ni
Zinedine Zidane(Algeria)
Karim Benzema(Algeria)
Adil Rami(Morocco)
Hatem Ben Arfa(Algeria)
Samir Nasri(Algeria)
Nabil Fekir(Algeria)
Mateo Goundouz (Morocco)
 
Umefirisika kwa Fikra Mkuu, wewe ni Kaburu... unamjua huyu ?

1671359739982.jpeg

Usidhani kwanza wafaransa wote wanafurahia kuna mgombe mmoja alisema wala hii timu sio ya Ufaransa inawakilishwa na wakuja..., ila baada ya 98 huyo jamaa juu alijaribu kuwaunganisha wafaransa chuki kubwa inayokuja inayoletwa na mtu kama wewe ?

Ukitaka kuwakilisha vyema si uende kwenu most of these guys wazazi wao wametokea sehemu fulani and they have choice kwenda popote....
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Wafaransa wanajua mwarabu kuliko wewe, Wana akili kuliko wewe, wamesema kuliko wewe , Wana fedha kuliko wewe.

Jiulize kwenye biashara ya utumwa , wale waafrika waliopelekwa Marekani na nchi za ulaya, waliruhusiwa kuzaliana na kuongezeka na ndoa baina ya waafrika na wazungu haikuwa tatizo, ila wale weeengi waliopelekwa uarabuni kwa makundi waliishia wapi?

Jiulize, waarabu kwenye nchi za ulaya wanaruhusiwa kujenga misikiti na kuhubiri imani Yao bila shida lakini nenda muhubiri wa Kikristu kwenye ardhi ya kiarabu kuhubiri ukristu au ujenge kanisa au muarabu abadikishe dini uone. Hayo machache yanayoishia kuelezea mwarabu ni binaadamu wa aina gani.

Mara nyingi jamii zingine hupenda kuwaheshimu kwa kuzihedhimu Mila zao, mfano kwenye kombe hili la dunia nchi nyingi zilijitahidi kuwaheshimu hata kwa kuvaa Mavazi Yao kama kanzu nk. Lakini wao huchukulia kama ni wajibu wako kufanya hivyo na Mila zao ni Bora kuliko zako, wao hawezi kufanya hivyo ama wakiwa kwako au kwao.
 
Linapokuja swala la striker wa ufaransa basi Olivier Giroud huwa ni no 1 haijalishi hata kama kwenye club anapata muda kidogo sana wa kycheza. lkn national team lazma acheze.
Hata angeitwa benzema basi ni ngumu kupata no.

kombe la dunia Russia Giroud hakufunga goal hata moja huku akicheza mechi karb zote. lkn team ilichukua kombe😂
 
Sababu Mali ambazo Ufaransa anaiba kwenye hizo nchi za magharibi ya afrika ni... Mara elfu... Yaani kuwaweka wachezaji 13 uwanjani au 20 Kwao si kitu kuliko hizo Mali wanazobeba kwenye nchi asili ya Hao watumwa WA kizazi kipya
Na wengi Ni taifa alilotawala ndio huwa kipaumbele

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wafaransa wanajua mwarabu kuliko wewe, Wana akili kuliko wewe, wamesema kuliko wewe , Wana fedha kuliko wewe.

Jiulize kwenye biashara ya utumwa , wale waafrika waliopelekwa Marekani na nchi za ulaya, waliruhusiwa kuzaliana na kuongezeka na ndoa baina ya waafrika na wazungu haikuwa tatizo, ila wale weeengi waliopelekwa uarabuni kwa makundi waliishia wapi?

Jiulize, waarabu kwenye nchi za ulaya wanaruhusiwa kujenga misikiti na kuhubiri imani Yao bila shida lakini nenda muhubiri wa Kikristu kwenye ardhi ya kiarabu kuhubiri ukristu au ujenge kanisa au muarabu abadikishe dini uone. Hayo machache yanayoishia kuelezea mwarabu ni binaadamu wa aina gani
Mbaguzi no moja ndio huona yy anabaguliwa. Kuna watu akili zao ziko matakoni.
 
Muarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
Hili nimeliona kwa macho kuhusu Egyptian wao hata awe Dr Emirates au uk atabaki kuwa na uraia wake kwa upendo wa nchi yake na hata akifa atazikwa kwao huo ni Uzalendo wa kuipenda nchi yao na si vingine

Nimefanya nao kazi sana Wa misri na wanaita nchi yao Ummu duniya yaani Mama wa mataifa yote

Ila cha kushangaza wale black Americans hawajiiti waafrika hata siku moja bali wachache sana ila wengi wanakuambia I am not african but American

Uliza black yeyote alieko usa au uk kuwa je wewe umefanya efforts zozote za kujua una chimbuko la wapi?
Atakuambia hapana ila cha ajabu zaidi wazungu kutwa wanatafuta nasaba zao bila kujali walizaliwa wapi bali wanataka kujua babu zao walitoka wapi

Hili la DNA hata sisi tunalikimbia
 
Wa black Africans hatuna misimamo unaweza hata kuuza au kukana ukoo wako mzima ili uweze kupate Visa ya kuenda Marekani, very silly people we ur.
 
Muarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
Siyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
 
Hata Wazungu wenyewe kwa wenyewe wanauana kwa kupigana risasi, tofauti na waarabu hawawezi kuua mwanamke au mtoto, lakini wazungu wana vamia shule za chekechea uko Marikani na kuwamiminia lisasi watoto wadogo.
Acha wao Kwa wao wauwane sio wewe utoke kwenu na shida zako ukaanze kuchoma watu visu
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Kwamba mtu apate Namba kisa Mwarabu? Unaumwa ?

Hii ni siasa tu ya mpira kwani benzima yeye si hakuwa kwenye mipango ya kocha toka mwanzo alivyoumia

Yaani mwalimu kashatengeneza mpango kazi wake halafu aje mtu kutoka buza kumlazimisha apange timu nyingine?

Mpira haupo hivyo kocha ndio kila kitu kwenye mpira wa kisasa!!

Benzima mwenyewe ana makashifa mpaka ya ubakaji!!
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Zinedine Zidane ni Muarabu. Huyo benzema kacheza timu ya Taifa miaka mingi tu. Sasa huyo Benzema anataka aingie kwenye timu ikiwa robo fainali halafu waachwe walioifikisha timu hiyo robo fainali?
Huyo muarabu ni mbinafsi na anataka kuandika rekodi zake na siyo za nchi au timu ya Taifa.
 
Zidane ni Mwarabu, huyo Benzema ana sababu zake za kutojumuishwa timu ya taifa kwa muda mrefu mpaka ilipofika wakati huu.

Mpiara ni zaidi ya kuwa na kipaji na skills, Mpira ni timu hivyo kuna mambo nje ya uwanja usipoyamudu unakuwa automatically nje ya mfumo hata kama una kipaji cha juu...na hao weusi kwani ni wote wanakutana na hiyo fursa? au kwa sababu unawaona wengi uwanjani?.

Wewe unatunga tu stori na kuja nazo huku.
 
Siyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
Hizo ndo propaganda za kipumbavu kabisa, nchi kama Jordan Syria Iraqi kuna 100% freedom of worship kwa yoyote bila ubaguzi, wewe umesha ona mamissionaries wangapi wa kikristo wa kitokea uarabuni?....tena nikuambie mkristo wa kule sio sawa na mkristo Mpale wa hapo, hata wakija uko wakifungua biashara wanapendelea kuajili wa Islamu japo wao ni wakristo kule neenda Cairo Bank ujionee unamlikiwa na orthodox wa Egyt ila wafanya kazi wao wote ni waislamu hamna RC hata moja
 
Siyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
Sio waarabu wengi wanabadili dini bali wengi ni wakristo
Nimeishi Iraq wakristo wengi sana
Pia nimeenda Beirut wakristo ni wengi
Na hata Cairo nimefika makanisa ni mengi sana na waarabu kibao wakristo wanasali humo

Nimeishi Amaan, Jordan wapo Greek orthodox ila wachache mno maana 92% ni waislam

Kwa hiyo mkuu usiandike kwa kuotea
Mimi nimeishi nao sana
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Hatim Ben arfa,adil Rami,kina Gundouiz,Samri Nasri ni wasukuma wale
 
Mkuu uislamu unaruhusu kutumia mali ya kafir kwa akili sio kwa nguvu kueneza uislamu ndo wanachofanya waarabu wa kiwa Ulaya.
Eti kusambaza UISLAMU shida ndo zinawapeleka mbona wa kutoka emirate,Qatar,saud hawaendi kusambaza awo wanaotoka Syria ndo wanaujua uislam sana
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Una mtindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom