Na mataifa ya mwarabu yana pesa.Muarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
Mkuu uislamu unaruhusu kutumia mali ya kafir kwa akili sio kwa nguvu kueneza uislamu ndo wanachofanya waarabu wa kiwa Ulaya.
Si waende katari ,saud Arabia au UAE
Ulichoandika sio sahihi, Timu ya Taifa ya Ufaransa ukizingua, kuja kuichezea tena huwa inakuwa ishu, hata uwe na kiwango kikubwa vipi! Mifano ipo hai, Eric Cantona, David Ginola, Nicholas Anelka. Pamoja ukali wao wote walifungiwa vioo. Na wachezajj wengi wa kiarabu wana rekodi za ukorofi, mfano Samir Nasri alivyogoma kumpisha siti Captain(Thiery Henry) kipindi hicho. Zidane kumtandika kichwa Materazi, na kipindi yuko Juventus alikuwa anachezea sana kadi sababu ya vurugu, kilichosaidia nje ya uwanja hana shida. Na wengine hawaitwi sababu viwango vyao vya kawaida. Hivyo wanaamua kurudi Afrika kwenye asili yao. Pia nchi za kiarabu zina mazingira bora zaidi yanayoshawishi hao jamaa kurudi kuzichezea tofauti na zetu za wabantu, rushwa na upigaji ni mwingi. Miongoni mwa wachezaji wa kiarabu waliochezea ufaransa ni
Zinedine Zidane(Algeria)
Karim Benzema(Algeria)
Adil Rami(Morocco)
Hatem Ben Arfa(Algeria)
Samir Nasri(Algeria)
Nabil Fekir(Algeria)
Mateo Goundouz (Morocco)
Umefirisika kwa Fikra Mkuu, wewe ni Kaburu... unamjua huyu ?
View attachment 2450608
Usidhani kwanza wafaransa wote wanafurahia kuna mgombe mmoja alisema wala hii timu sio ya Ufaransa inawakilishwa na wakuja..., ila baada ya 98 huyo jamaa juu alijaribu kuwaunganisha wafaransa chuki kubwa inayokuja inayoletwa na mtu kama wewe ?
Ukitaka kuwakilisha vyema si uende kwenu most of these guys wazazi wao wametokea sehemu fulani and they have choice kwenda popote....
Wafaransa wanajua mwarabu kuliko wewe, Wana akili kuliko wewe, wamesema kuliko wewe , Wana fedha kuliko wewe.
Jiulize kwenye biashara ya utumwa , wale waafrika waliopelekwa Marekani na nchi za ulaya, waliruhusiwa kuzaliana na kuongezeka na ndoa baina ya waafrika na wazungu haikuwa tatizo, ila wale weeengi waliopelekwa uarabuni kwa makundi waliishia wapi?
Jiulize, waarabu kwenye nchi za ulaya wanaruhusiwa kujenga misikiti na kuhubiri imani Yao bila shida lakini nenda muhubiri wa Kikristu kwenye ardhi ya kiarabu kuhubiri ukristu au ujenge kanisa au muarabu abadikishe dini uone. Hayo machache yanayoishia kuelezea mwarabu ni binaadamu wa aina gani.
Mara nyingi jamii zingine hupenda kuwaheshimu kwa kuzihedhimu Mila zao, mfano kwenye kombe hili la dunia nchi nyingi zilijitahidi kuwaheshimu hata kwa kuvaa Mavazi Yao kama kanzu nk. Lakini wao huchukulia kama ni wajibu wako kufanya hivyo na Mila zao ni Bora kuliko zako, wao hawezi kufanya hivyo ama wakiwa kwako au kwao.
Siyo kweli, kuwa waarabu wote ni waislamu.
Na siyo kweli, kuwa waarabu hawabadili dini( waarabu wengi wanabadili dini toka uislamu kwenda UKRISTO). Isipokuwa Kuna sheria Kali kwa mtu anayehama UISLAMU ( Kwahiyo, wengi wamehama uislamu kwa siri, na wanasali kwa uficho mkubwa sana).
Nchi za kiarabu ni nchi ambazo zinapingana na mpango wa MUNGU wa kumpa mwanadamu uhuru wa kuchagua jema au baya katika suala la IMANI.
- Hivyo wapo waarabu Mapadre, maaskofu, masista, nk.
Alimbaka naniKwamba mtu apate Namba kisa Mwarabu? Unaumwa ?
Hii ni siasa tu ya mpira kwani benzima yeye si hakuwa kwenye mipango ya kocha toka mwanzo alivyoumia
Yaani mwalimu kashatengeneza mpango kazi wake halafu aje mtu kutoka buza kumlazimisha apange timu nyingine?
Mpira haupo hivyo kocha ndio kila kitu kwenye mpira wa kisasa!!
Benzima mwenyewe ana makashifa mpaka ya ubakaji!!
Zinedine Zidane ni Muarabu. Huyo benzema kacheza timu ya Taifa miaka mingi tu. Sasa huyo Benzema anataka aingie kwenye timu ikiwa robo fainali halafu waachwe walioifikisha timu hiyo robo fainali?
Huyo muarabu ni mbinafsi na anataka kuandika rekodi zake na siyo za nchi au timu ya Taifa.
Thread closedMuarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
Hizo ndo propaganda za kipumbavu kabisa, nchi kama Jordan Syria Iraqi kuna 100% freedom of worship kwa yoyote bila ubaguzi, wewe umesha ona mamissionaries wangapi wa kikristo wa kitokea uarabuni?....tena nikuambie mkristo wa kule sio sawa na mkristo Mpale wa hapo, hata wakija uko wakifungua biashara wanapendelea kuajili wa Islamu japo wao ni wakristo kule neenda Cairo Bank ujionee unamlikiwa na orthodox wa Egyt ila wafanya kazi wao wote ni waislamu hamna RC hata moja
Hatim Ben arfa,adil Rami,kina Gundouiz,Samri Nasri ni wasukuma wale
Una mtindio wa ubongo
Na mataifa ya mwarabu yana pesa.
Tuko pamoja mkuu. Huyu mleta mada anachukulia wote hatujui na hatufuatilii mpira kama yeye. Vitu anavyosema ni tofauti kabisa na uhalisia uliopoDunia yote leo tuko upande wa Ufaransa! Wabaguzi wote lazima wakalishwe chini.
Wafanyakazi waliojenga viwanja vya Qatar hawajalipwa stahiki zao.Ufedhuli wa waarabu ni upi
Kama wanawabagua waarabu na kuwapendelea watu weusi basi acha iweeWakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa
Kuna jambo sio zuri
Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu
Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend
Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao
Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi
Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi
Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)
Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi
Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama
Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina
Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina
Asante