Ulichoandika sio sahihi, Timu ya Taifa ya Ufaransa ukizingua, kuja kuichezea tena huwa inakuwa ishu, hata uwe na kiwango kikubwa vipi! Mifano ipo hai, Eric Cantona, David Ginola, Nicholas Anelka. Pamoja ukali wao wote walifungiwa vioo. Na wachezajj wengi wa kiarabu wana rekodi za ukorofi, mfano Samir Nasri alivyogoma kumpisha siti Captain(Thiery Henry) kipindi hicho. Zidane kumtandika kichwa Materazi, na kipindi yuko Juventus alikuwa anachezea sana kadi sababu ya vurugu, kilichosaidia nje ya uwanja hana shida. Na wengine hawaitwi sababu viwango vyao vya kawaida. Hivyo wanaamua kurudi Afrika kwenye asili yao. Pia nchi za kiarabu zina mazingira bora zaidi yanayoshawishi hao jamaa kurudi kuzichezea tofauti na zetu za wabantu, rushwa na upigaji ni mwingi. Miongoni mwa wachezaji wa kiarabu waliochezea ufaransa ni
Zinedine Zidane(Algeria)
Karim Benzema(Algeria)
Adil Rami(Morocco)
Hatem Ben Arfa(Algeria)
Samir Nasri(Algeria)
Nabil Fekir(Algeria)
Mateo Goundouz (Morocco)