Ufaransa huwapa kipaumbele watu weusi kuliko waarabu kwenye timu Taifa na mambo mengine hii sio sawa

Kwanini Argentina hakuna mwarabu wala mtu mweusi?
 
unakumbuka kina samir nasr walifanyaga nini
 
Tofauti hii na Waafrica weusi ni ipi???

Watu wa Mali , Burkuna Be, Guinea, Congo, Birundi, Agola, Nigeria, n.k
 
Kuna Muda mzungu alikuwa kipa tu jana.

Weusi wote 10..!!!

Ha ha ha haaaa.. Ilikuwa lazima wapasuke
 
Kwanini Argentina hakuna mwarabu wala mtu mweusi?
Argentine War of independence 1810-1818 hiyo vita ndio waliwauwa sana waafrika waliopelekwa huko kama watumwa kutoka sub- Saharan Africa
Kuna mabaki bado

Na kukuongezea tu Carlos Menem alikuwa Rais wa Argentina [emoji1033] na asili yake alikuwa ni mwarabu wa Syria

Hebu imagine sisi waswahili tulivyo na ubaguzi halafu wenzetu wanawapa uraisi kabisa

Na kuna nchi 11 Latin America ambazo zilikuwa na maraisi wenye asili ya kiarabu kama hujasoma acha nikuelimishe kidogo

Hata kwenye mpira angalia kuna wenye uchotara

Sisi waziri msomali kelele mpaka mbinguni
 
Mkuu hamnaga muarabu moderate labda awe na damu ya kiahudi, sifa kuu ya muarabu ni kujiona iko superior siku zote.
Ila mwamba ni muongo kinoma ulishaendaga Lebanon huwez fikiri ni nchi ya kiarabu Iko moderate sana, alafu Kuna waarabu wakristo ni tofauti na waislamu
 
Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…