Ufaransa ilijitoa NATO kwa amani, Urusi anashambulia nchi zinazotaka kujiunga

upumbavu mtupu , yaani mizwazwa
yaani mnakaa hapa mnajadili kuwa France sio NATO member, since when?????? ...aiseeeee
Kweli nyinyi ni warrusia weusi, ujinga mzigo.........
katafuteni hela ya kula......
 
Unadhani USA atachukua hatua gani ikiwa Cuba ataunda umoja na Russia na hivyo basi Russia aweke military base Cuba?
Miaka ya nyuma Ilikuwa hivyo na USA ikasema italipua meli zenye silaha za Kivita kutoka Russia na kama itatokea world war 3 na iwe hivyo!
Russia hakutaka makuu akageuza meli zake za Kivita na kuachana na Mpango Huo!
 
upumbavu mtupu , yaani mizwazwa
yaani mnakaa hapa mnajadili kuwa France sio NATO member, since when?????? ...aiseeeee
Kweli nyinyi ni warrusia weusi, ujinga mzigo.........
katafuteni hela ya kula......
Sawa boss tema mate tuwachape kasome tena Ufaransa ni Neutral state like Sweden & Finland japo Kuna baadhi ya ishu za NATO anashiriki rudi kasome unaweza kuta wewe ndio hujui kitu halafu unajifanya muchknow
 
Tumesikia Belarus chini ya Lukashenko ana mpango wa kuweka Makombora ya Nuklia pale ila mbona sioni nchi za NATO zikimgawana tena huyo ndio mtoto wa Russia kabisa na bado yupo kwenye mipaka ya nchi za Nato
Jamaa yenu anaongozwa na ubabe tu hakuna lingine.
 
Sasa mfaransa unamfananisha vp na Ukraine? Kwanza hajawahi kuwa Soviet, pili sio jirani wa karibu na mrusi hivyo sio tishio
Hujaelewa Boss Mfaransa alikua NATO ila baada ya kujitoa 1966 hakuna lililotoea kinyume kabisa na nchi za Kisoviet NATO kila nchi ina maamuzi yake Tofauti na Soviet ambapo Mrusi anataka kukumbatia kila nchi na kuwatengenezea Sera zao na kutoa maamuzi
 
Mi nikajua utasema nchi jirani na USA,Nasema itatokea Nini ikiwa Russia ataweka base Cuba na kuweka masilaha ya nyuklia huko?Unadhani USA atakubali?
Belarus Haiko jirani na USA,NATO ni ngao ya USA kujihami dhidi ya maadui!
 
Ndo maana nakwambia...Urusi haipo NATO...na ni adui wa NATO. Sasa kwanini urusi asifurahie Ufaransa kujitoa? Urusi anapambana na jirani zake wasiingie NATO..sio kujitoa
 
Mbona USA aliingilia uhuru wa Cuba kufanya maamuzi yake ya kuunda umoja wa kijeshi na Russia?
 
Mi nikajua utasema nchi jirani na USA,Nasema itatokea Nini ikiwa Russia ataweka base Cuba na kuweka masilaha ya nyuklia huko?Unadhani USA atakubali?
Belarus Haiko jirani na USA,NATO ni ngao ya USA kujihami dhidi ya maadui!
Boss Urusi yenyewe ipo karibu na USA kasome historia ya jimbo la Alaska halafu angalia distance kutoka Urusi mpaka USA.
 
Jiulize kwanza kwanini NATO ilianzishwa...., Na je ilianzishwa ili kuikabili Ufaransa ?

Jibu lako utalipata hapo kwamba ni kwanini NATO na Russia / Moscow ambayo yalikuwa makao makuu ya USSR haziivi
 
Usiukimbie ukweli wa kuwa ...Hivyo ndivyo Dunia inavyoendeshwa...

Muache sasa na mjifunze pia msidanganyike na upuuzi wa Haki/Uhuru na matakataka gani sijui ya Democracy.
 
Bado uko gizani sana hujui kwa nn urusi anaishambulia au hataki Ukraine ijiunge na NATO ukijua hivyo utajua majibu ya maswali yako
 
Ndo maana nakwambia...Urusi haipo NATO...na ni adui wa NATO. Sasa kwanini urusi asifurahie Ufaransa kujitoa? Urusi anapambana na jirani zake wasiingie NATO..sio kujitoa
Yani ni sawa na Tz kutaka kujiunga Jumuiya nyingine halafu nchi zingine zianze kutushambulia kisa tulikua East Africa community

Yani ninachotaka kujua ni Uhali wa Urusi kushambulia nchi nyingine Kijeshi zikitaka kufanya maamuzi yake je kama ni mkataba upo kuna kipengele kinasema kwamba nchi ikijitoa Mrusi ni lazima arushe Iskander zake.
 
Mbona ueleweki, France ni mwanachama wa NATO, wapi wamesema kajitoa?. NATO ina members 30. UK, US ,Canada, Ureno , Spain, Luxemburg, Italy, Germany , Slovenia, Zcheck, Hungary, Romenia,Birgalia, Lithiania, Estonia, Latvia, Norway, Sweden, Neither land, Belgium, Greece, Turkey, North Macedonia,Denmark, Poland, Romania,Albania, Croatia, Montenegro na Ireland. Kuna nchi 2 tu katika Ulaya ya magharibi neutral ambazo hazipo Nato lakini zimeomba kwa sasa ni Finland na Switzer land. Mashariki mwa Ulaya ambazo zimeomba ni (Ukrein, Moldava na Georgia) hizi zinasumbuliwa na Urusi. France ndie NATO Ulaya hawezi toka.
 
Bado uko gizani sana hujui kwa nn urusi anaishambulia au hataki Ukraine ijiunge na NATO ukijua hivyo utajua majibu ya maswali yako
Binafsi sioni logic zaidi ya kuua raia wasio na hatia Soviet ishavunjika kila nchi ina Uhuru wake ni sawa na kipind kile East Africa imevunjika halafu nchi Moja ikitaka kujiunga labda na Jumuiya nyingine may be SADc ishambuliwe my pointi Russia anapata wap uhalali wa kushambulia nchi nyingine wakati Soviet haipo tena?
 
France alishiriki kuunda NATO ila mwaka 1966 alijitoa hasa kwenye upande wa kijeshi anabaki kama mshiriki muhimu angalia Vita vingi vya NATo ufaransa hashiriki
 
Hakuna uhalali wowote..kitu ambacho mrusi hataki ni jirani yake kumkaribisha nyoka ( NATO) ili aje amgonge. Sasa badala asubiri nyoka aletwe, anadili na anaetaka kumleta nyoka
 
Bado uko gizani sana hujui kwa nn urusi anaishambulia au hataki Ukraine ijiunge na NATO ukijua hivyo utajua majibu ya maswali yako
Ndio uniambie sababu nini manake yeye kama yeye anasema ni Denazification & Demilitarization yani leo ukae ikulu tu na kuamua kushambulia nchi nyingine kisa watu wanaipenda nchi yao na kuwapunguza nguvu kijeshi hakuna mantiki hapo.

Ukraine wamefanya uchaguzi wa kidemokrasia na wamechagua Rais wao kidemokrasia tofauti na Russia kabisa tunashuhudia wapinzani wakipewa kesi na Norvichocky juu/sumu
 
Boss Urusi yenyewe ipo karibu na USA kasome historia ya jimbo la Alaska halafu angalia distance kutoka Urusi mpaka USA.
Daaah,we jamaa hata sisi Tanzania tuko Karibu zaidi na Urusi kuliko USA na Urusi!
Ninachosema,itakuwaje kama Russia ataunda umoja na mexico au Cuba ambao wamepakana na USA na kwenda kuweka huko Kambi za kijeshi na nyuklia weapons?Unadhani USA atakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…