Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
keep the nchi clean hahahaPutin kasema awamu ya kwanza ya kuifanya Ukraine kuwa magofu imekamilika sijui awamu ya pili itakuaje
Sawa boss tema mate tuwachape kasome tena Ufaransa ni Neutral state like Sweden & Finland japo Kuna baadhi ya ishu za NATO anashiriki rudi kasome unaweza kuta wewe ndio hujui kitu halafu unajifanya muchknowupumbavu mtupu , yaani mizwazwa
yaani mnakaa hapa mnajadili kuwa France sio NATO member, since when?????? ...aiseeeee
Kweli nyinyi ni warrusia weusi, ujinga mzigo.........
katafuteni hela ya kula......
Tumesikia Belarus chini ya Lukashenko ana mpango wa kuweka Makombora ya Nuklia pale ila mbona sioni nchi za NATO zikimgawana tena huyo ndio mtoto wa Russia kabisa na bado yupo kwenye mipaka ya nchi za NatoUnadhani USA atachukua hatua gani ikiwa Cuba ataunda umoja na Russia na hivyo basi Russia aweke military base Cuba?
Miaka ya nyuma Ilikuwa hivyo na USA ikasema italipua meli zenye silaha za Kivita kutoka Russia na kama itatokea world war 3 na iwe hivyo!
Russia hakutaka makuu akageuza meli zake za Kivita na kuachana na Mpango Huo!
Hujaelewa Boss Mfaransa alikua NATO ila baada ya kujitoa 1966 hakuna lililotoea kinyume kabisa na nchi za Kisoviet NATO kila nchi ina maamuzi yake Tofauti na Soviet ambapo Mrusi anataka kukumbatia kila nchi na kuwatengenezea Sera zao na kutoa maamuziSasa mfaransa unamfananisha vp na Ukraine? Kwanza hajawahi kuwa Soviet, pili sio jirani wa karibu na mrusi hivyo sio tishio
Mi nikajua utasema nchi jirani na USA,Nasema itatokea Nini ikiwa Russia ataweka base Cuba na kuweka masilaha ya nyuklia huko?Unadhani USA atakubali?Tumesikia Belarus chini ya Lukashenko ana mpango wa kuweka Makombora ya Nuklia pale ila mbona sioni nchi za NATO zikimgawana tena huyo ndio mtoto wa Russia kabisa na bado yupo kwenye mipaka ya nchi za Nato
Jamaa yenu anaongozwa na ubabe tu hakuna lingine.
Ndo maana nakwambia...Urusi haipo NATO...na ni adui wa NATO. Sasa kwanini urusi asifurahie Ufaransa kujitoa? Urusi anapambana na jirani zake wasiingie NATO..sio kujitoaHujaelewa Boss Mfaransa alikua NATO ila baada ya kujitoa 1966 hakuna lililotoea kinyume kabisa na nchi za Kisoviet NATO kila nchi ina maamuzi yake Tofauti na Soviet ambapo Mrusi anataka kukumbatia kila nchi na kuwatengenezea Sera zao na kutoa maamuzi
Mbona USA aliingilia uhuru wa Cuba kufanya maamuzi yake ya kuunda umoja wa kijeshi na Russia?Hujaelewa Boss Mfaransa alikua NATO ila baada ya kujitoa 1966 hakuna lililotoea kinyume kabisa na nchi za Kisoviet NATO kila nchi ina maamuzi yake Tofauti na Soviet ambapo Mrusi anataka kukumbatia kila nchi na kuwatengenezea Sera zao na kutoa maamuzi
Boss Urusi yenyewe ipo karibu na USA kasome historia ya jimbo la Alaska halafu angalia distance kutoka Urusi mpaka USA.Mi nikajua utasema nchi jirani na USA,Nasema itatokea Nini ikiwa Russia ataweka base Cuba na kuweka masilaha ya nyuklia huko?Unadhani USA atakubali?
Belarus Haiko jirani na USA,NATO ni ngao ya USA kujihami dhidi ya maadui!
Usiukimbie ukweli wa kuwa ...Hivyo ndivyo Dunia inavyoendeshwa...Binafsi sioni mantiki ya kuhalalisha Uvamizi Wa Urusi kule Ukraine eti kwa vile Marekani walivamia nchi nyingine..
Ina maana Misri naye akiamua kuvurumisha mabomu Tanzania kwa madai ya kulinda maslahi yao tutakaa kimya pia?
Je Vita ndiyo njia sahihi ya kutafuta suluhu pindi tukikwazana?
Bado uko gizani sana hujui kwa nn urusi anaishambulia au hataki Ukraine ijiunge na NATO ukijua hivyo utajua majibu ya maswali yakoUfaransa ilikuwa mwanachama wa NATO mpaka mwaka 1966 ilipoamua kujitoa na kubaki Neutral state huku wanachama wote wakibariki maamuzi hayo hatukuona Makombora ya Iskander yakivurumishwa Paris.
Kwa upande wa pili mambo ni kinyume kabisa nikimaanisha nchi zilizokua za Kisoviet ukitaka kutoka huko na kujiunga na NATO unakumbana na makombora ya Iksander ya kutosha tu.
Swali jepesi,
makubaliano yanasema ukitaka kujiunga NATO lazima Mrusi akushambulie? wamekubaliana hivyo?
Sweden na Finland ni neutral state ila wameanza tetesi za kutaka kujiunga NATO ila tiyari Mrusi keshawapa vitisho and good enough siku Sweden anatangaza mpango wake huo kuna ndege za Urusi kama sio mbili zilivunja sheria na kuruka anga la Sweden.
Swali Jepesi.
Kwanini Mrusi anawachagulia nchi huru maisha yao ya kuishi?
Kuna nchi baada ya kuonyesha mrengo wa kujiunga NATO au kinyume na Sera za Urusi zimekula makombora ya Iskander ya kutosha japo nyingine zilijiunga kibabe ref Georgia, Poland, Latvia, Chenchya, Romania, Hungary, etc zote hizo zina makovu ya makombora ya Iskander kutoka kwa Mrusi
Na leo hii wote ni mashuhuda angalia kinachoendelea Ukraine kila aina ya makombora yanatumika kutoka angani, baharini, nchi kavu kote huko zinatoka Iskander, Hypersonic, Vacuum, thermoballic Bomu...nk.
Swali jepesi.
Je Mrusi anaamini sana katika vita ndio njia ya kutafuta muafaka au ni Ubabe wake na kauli ya hakuna wa kunifanya kitu.
Vita niya kupingwa ni wapenda amani wote wanakufa watu wasio na hatia baada ya Vita ya Vietnam/Vietcong baada ya watu kushuhudima matokeo ya vita walikuja na kauli hii " VITA NI SULUHISHO LA MWISHO KABISA ENDAPO NJIA ZOTE ZA MAZUNGUMZO ZIMESHINDIKANA"
Kataa vita penda Amani.
Yani ni sawa na Tz kutaka kujiunga Jumuiya nyingine halafu nchi zingine zianze kutushambulia kisa tulikua East Africa communityNdo maana nakwambia...Urusi haipo NATO...na ni adui wa NATO. Sasa kwanini urusi asifurahie Ufaransa kujitoa? Urusi anapambana na jirani zake wasiingie NATO..sio kujitoa
Binafsi sioni logic zaidi ya kuua raia wasio na hatia Soviet ishavunjika kila nchi ina Uhuru wake ni sawa na kipind kile East Africa imevunjika halafu nchi Moja ikitaka kujiunga labda na Jumuiya nyingine may be SADc ishambuliwe my pointi Russia anapata wap uhalali wa kushambulia nchi nyingine wakati Soviet haipo tena?Bado uko gizani sana hujui kwa nn urusi anaishambulia au hataki Ukraine ijiunge na NATO ukijua hivyo utajua majibu ya maswali yako
France alishiriki kuunda NATO ila mwaka 1966 alijitoa hasa kwenye upande wa kijeshi anabaki kama mshiriki muhimu angalia Vita vingi vya NATo ufaransa hashirikiMbona ueleweki, France ni mwanachama wa NATO, wapi wamesema kajitoa?. NATO ina members 30. UK, US ,Canada, Ureno , Spain, Luxemburg, Italy, Germany , Slovenia, Zcheck, Hungary, Romenia,Birgalia, Lithiania, Estonia, Latvia, Norway, Sweden, Neither land, Belgium, Greece, Turkey, North Macedonia,Denmark, Poland, Romania,Albania, Croatia, Montenegro na Ireland. Kuna nchi 2 tu katika Ulaya ya magharibi neutral ambazo hazipo Nato lakini zimeomba kwa sasa ni Finland na Switzer land. Mashariki mwa Ulaya ambazo zimeomba ni (Ukrein, Moldava na Georgia) hizi zinasumbuliwa na Urusi. France ndie NATO Ulaya hawezi toka.
Hakuna uhalali wowote..kitu ambacho mrusi hataki ni jirani yake kumkaribisha nyoka ( NATO) ili aje amgonge. Sasa badala asubiri nyoka aletwe, anadili na anaetaka kumleta nyokaYani ni sawa na Tz kutaka kujiunga Jumuiya nyingine halafu nchi zingine zianze kutushambulia kisa tulikua East Africa community
Yani ninachotaka kujua ni Uhali wa Urusi kushambulia nchi nyingine Kijeshi zikitaka kufanya maamuzi yake je kama ni mkataba upo kuna kipengele kinasema kwamba nchi ikijitoa Mrusi ni lazima arushe Iskander zake.
Ndio uniambie sababu nini manake yeye kama yeye anasema ni Denazification & Demilitarization yani leo ukae ikulu tu na kuamua kushambulia nchi nyingine kisa watu wanaipenda nchi yao na kuwapunguza nguvu kijeshi hakuna mantiki hapo.Bado uko gizani sana hujui kwa nn urusi anaishambulia au hataki Ukraine ijiunge na NATO ukijua hivyo utajua majibu ya maswali yako
Daaah,we jamaa hata sisi Tanzania tuko Karibu zaidi na Urusi kuliko USA na Urusi!Boss Urusi yenyewe ipo karibu na USA kasome historia ya jimbo la Alaska halafu angalia distance kutoka Urusi mpaka USA.