tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Ndio mpira sasa huu,sio tu unasema fulani atashinda...atashindaje?quality inahitajika kila kipengele...hawana kipa kama wa Argentina na wapiga penalty chenga wanashindaje kwa watu wenye full package..?jibu ni HAIWEZEKANIMategemo yangu ni ufaransa kuchukua ubingwa lakini sivyo inaniymaaaaaaa saanaaaa mpka nimelia ase mpira halamu sana