Ufaransa imeniangusha sana

Ufaransa imeniangusha sana

Timu imemwangusha Mbappe. Timu nzima ilimtegemea Mbappe. Ni kama hawakujua kutakuwa na penalty. Ila wametoka kiume.
 
Waarabu wameandaa kombe la dunia la heshima nadhani mzungu anajitafakari sana. kuanzia mwanzo mwisho ni utaratibu

Jinsi walivyo design stage nadhani wengine wakaige. Kweli wameonesha jeuri ya pesa.

Ile jukwaa la kupokelea kombe ni noma, wengine wanaweka ka jukwaa kama ka kipaimala. Au ubatizo wa mtoto
 
Mwarabu muacheni skuna kama yy
 
Kocha wa Ufaransa anamuachaje Anthony martial, forward ya Ufaransa ni toothless kabisa. Beck za Argentina zili relax sana
 
Ulitak niazishe thrd the way ulivyopigwa miti? Sio
Mbona unaanza kujitangaza hapa kua wewe sio riziki? maana mtu huwaza kile akifanyacho na huamini kua na wenzake wanafanya kama yeye,
Haya tunakuacha uendelee kuwalilia France,sawa Binti.
 
Mbona unaanza kujitangaza hapa kua wewe sio riziki? maana mtu huwaza kile akifanyacho na huamini kua na wenzake wanafanya kama yeye,
Haya tunakuacha uendelee kuwalilia France,sawa Binti.
Kuna siku alikuja humu na thread akilia Kwamba ameshikwa shikwa makalio,full kupapaswa Kwny hiace,nikawa najiuliza mpk ushikwe makalio na mwanaume mwenzako anakua amekuonaje onaje?

Nikajua huyu Ni boflo tu.
 
Vitoto vya Kanji vinazidi kunenepa 🤣🤣🤣 maskini Waya mkali anawaza atajilike kwa kusuka mikeka matokeo yake mtu anaweka mkeka Timu 20 wenyewe wanaita behewa,
anaweka jero ili apate laki kitu ambacho ni ngumu kutusua🤣🤣🤣
wamekula 50 yangu mwenyewe mbangaizaji tu...nchi kodi inapata ila sisi ndio tunaumia.
 
Back
Top Bottom