Ufaransa imeniangusha sana

Mategemo yangu ni ufaransa kuchukua ubingwa lakini sivyo inaniymaaaaaaa saanaaaa mpka nimelia ase mpira halamu sana
Ndio mpira sasa huu,sio tu unasema fulani atashinda...atashindaje?quality inahitajika kila kipengele...hawana kipa kama wa Argentina na wapiga penalty chenga wanashindaje kwa watu wenye full package..?jibu ni HAIWEZEKANI
 
Ila yule dogo kakosa kijinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…