kumbuka Putin alipitisha sheria ya bunge kuwaongezea kodi wananchi wake kutokana na uchumi kuanguka na nchi imo kwenye vita, sasa utaniambia nani anaanguka kiuchumi nyinyi mnalishwa tu manenoNa wa 5 utaingia ,nikuulize hadi sasa nani anaumia na hivyo vikwazo? Na tokea vita ianze uchumi wa nani umepanda na wa nani umeshuka? Putin akili kubwa ma LGBT kazi imekua ngumu
kumbuka Putin alipitisha sheria ya bunge kuwaongezea kodi wananchi wake kutokana na uchumi kuanguka na nchi imo kwenye vita, sasa utaniambia nani anaanguka kiuchumi nyinyi mnalishwa tu maneno
Walivyoivamia Libya halafu baadae wakaanza kujutia uamuzi wao walikuwa na mpango wa miaka mingapi ?Ndugu pamoja na kuwa sizijui sana siasa za Ufaransa lakini naamini kabisa wanajua wanalolifanya ktk hilo maana hawa jamaa hawapangi mpango wa muda mfupi hata muda wake ukiisha madarakani lakini mwendelezo unakuwepo maofisini mwao. Kwahiyo inakuwa ni Vision ya nchi sio ya anaetawala muda huo.
Mbona wale jamaa wameanza kulilia mikataba ya gesi ipelekwe haraka,,, anaelia anajulikana , Mrusi anaimalisha BRICS tu kuwaonyesha nguvu na uwezo anao,,,ahangaike na Afrika kwa lipi wakati ndo nchi yenye rasilimali nyingi anaweza akajifungia peke yake na uchumi ukaenda,,,wanaolia ni wamagharibi ambao chumi zao zilijengwa kwa kupora mali za nchi nyingine,,....Mjerumani huko hali tata maviwanda yanadorora nishati hamna ,gesi ya mrusi inawatoa kamasiungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
Wao NATO wana pesa ya kuendelea kui support Ukraine miaka yote hiyo ?Na NATO walikuwa wazi kabisa kwamba nia yao ni kuiangusha Russia kiuchumi, kwahiyo Russia aandae pesa tu ya vita.
Sisi hatufanyii kazi vyanzo vya kwenye bolgs za internet na google, tosheka na sheria bunge la putini lilopitiasha kuwaongezea kodi wananchi wa russia,War in Ukraine: Sanctions against Russia have had limited effect
The Russian economy, expected to grow by 2.6% in 2024, has only been slightly hampered by the retaliatory measures taken after the invasion, which are largely being circumvented via India and China.www.lemonde.fr
Sio miaka ya ukoloni hii kila kitu kipo wazi,,,,Propaganda zenu na vikwazo vinafeli ,watu wamefunguka,,,,wamagharibi huko ndo wanalia
Mbona marekani wanasusa kupeleka pesa Ukraine kama kungekua na mafanikio, nayo hio blog??watu wameona wanapoteza pesa tu na mrusi anazidi kuwamega,,,na mtamegwa sana bado miaka 10 mingineSisi hatufanyii kazi vyanzo vya kwenye bolgs za internet na google, tosheka na sheria bunge la putini lilopitiasha kuwaongezea kodi wananchi wa russia,
urusi ingekuwa na uchumi imara na watu wake wangesha maliza kazi Ukraine lakini sasa anaazima silaha toka North kore na iran hana tena ubavu wa kuendelea na vita aliyoichagua
Uliisikiliza hutuba ya Biden juzi kuhusu russia? "They Will Not Walk Away"Mbona marekani wanasusa kupeleka pesa Ukraine kama kungekua na mafanikio, nayo hio blog??watu wameona wanapoteza pesa tu na mrusi anazidi kuwamega,,,na mtamegwa sana bado miaka 10 mingine
Hivi lini alisemaga hivyo? Unayo link yeyote wakati akisema hivyo?Unamtilia putini maneno mdomoni, kwisha jamaa yako alisema atamaliza kazi within 72hrs sasa mwaka 3 unaingia
Wewe unaongea kwa hisia hisia tu..Bunge la Marekani bado limezuia msaada zaidi kwa Ukraine mpaka sasa, ndo maana Biden anajaribu kuongea sana ili wapitishe-bado ngoma nzito ndo kwanza wameenda likizo ya wiki 2.Uliisikiliza hutuba ya Biden juzi kuhusu russia? "They Will Not Walk Away"
US toka mapema vita inaanza walipitisha badget ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, putin alianza na budget ya siku 3 akaongeza wiki 2 sasa ni muda usiojulikana amekwama sasa anapigana kwa hasara. Marekani hasuisui sasa wanafikiria kumwaga vikosi vya NATO ili wamalize biashara na putini
Hata wewe ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwanini urusi kaingia kwa asilimia kubwa kwenye nchi zinazoongea kifaransa na kwanini nchi hizo huwa zinaongoza kwa umasikini na machafuko.ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
Hahaa wanataka wamwage vikosi sababu maji yamewafika shingoni wanaona wanazidi kumegwa tu,,kama wangekua wamemuweza mrusi wangefikiria kuingia wao wenyewe? Hali imeshakua ngumu acha waingie na wao wachezee kichapo PUTIN AKILI KUBWAUliisikiliza hutuba ya Biden juzi kuhusu russia? "They Will Not Walk Away"
US toka mapema vita inaanza walipitisha badget ya miaka 5 kuisaidia Ukraine, putin alianza na budget ya siku 3 akaongeza wiki 2 sasa ni muda usiojulikana amekwama sasa anapigana kwa hasara. Marekani hasuisui sasa wanafikiria kumwaga vikosi vya NATO ili wamalize biashara na putini
chanzo kwani links tu, putin alitangaza Television zote wiki ya kwanza sasa mnatafuta linkHivi lini alisemaga hivyo? Unayo link yeyote wakati akisema hivyo?
Sasa kama russia anaweza kupigana na ukrean tu mbona sasa mwaka 3 superpower anatokota, NATO wanafikiria kumaliza vita muda mfupi tu waangalie mambo mengine, putin kesha tn hana lolote ata kelele kapunguaHahaa wanataka wamwage vikosi sababu maji yamewafika shingoni wanaona wanazidi kumegwa tu,,kama wangekua wamemuweza mrusi wangefikiria kuingia wao wenyewe? Hali imeshakua ngumu acha waingie na wao wachezee kichapo PUTIN AKILI KUBWA
Mngekua mmeweza kumzuia mrusi msingewaza kupeleka vikosi, kikubwa mmezidiwa na bado mrusi anawamega taaratibu kama atakavyoSasa kama russia anaweza kupigana na ukrean tu mbona sasa mwaka 3 superpower anatokota, NATO wanafikiria kumaliza vita muda mfupi tu waangalie mambo mengine, putin kesha tn hana lolote ata kelele kapungua
Thank You For Being Fu.ed Up MAN 😊Sisi hatufanyii kazi vyanzo vya kwenye bolgs za internet na google, tosheka na sheria bunge la putini lilopitiasha kuwaongezea kodi wananchi wa russia,
urusi ingekuwa na uchumi imara na watu wake wangesha maliza kazi Ukraine lakini sasa anaazima silaha toka North kore na iran hana tena ubavu wa kuendelea na vita aliyoichagua
Kalaa ndio nini..!!😧Wakati huo Russia kalaa!!
Sasa nchi nzima magofu Kuna faida gani mnapokea silaha zinanyeshewa na mvuaHawa jamaa walitoa bajeti ya kuisapot Ukraine kwa miaka mitano, yaani NATO. Watu tulibeza sana humu kusema vita haiwezi maliza hata miezi miwili.
Taaratibu tunaanza kuamini mipango ya mzungu, kweli wenzetu wako mbali sana.
Unachokisema ni sawa kama hiyo mipango inahusu huduma za kijamii lakini huwezi panga vita na urusi halafu ubakie na hiyo mipango bila kuparaganyika, Napoleon Bonaparte aliwahi ivamia urusi kilichomkuta anakijuaNdugu pamoja na kuwa sizijui sana siasa za Ufaransa lakini naamini kabisa wanajua wanalolifanya ktk hilo maana hawa jamaa hawapangi mpango wa muda mfupi hata muda wake ukiisha madarakani lakini mwendelezo unakuwepo maofisini mwao. Kwahiyo inakuwa ni Vision ya nchi sio ya anaetawala muda huo.