Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

Wewe ndo akili ndogo hata panzi anakuzidi ni biashara gani Russia wameuza bei ndogo?
hilo swali ni jibu tosha kuwa una akili kisoda , fuatilia mimi sio mwl wa wajinga , kila kitu kipo wazi
 
Hili wasiwe vibaraka
Afrika mpo watu wazima wengi ambao ni wajinga , Kiongoz wa Ukraine akiwa kibaraka yeye Putin ina muhusu nini ? Urusi kafanikiwa kuyashika mazombi yake mengi huku Afrika ambayo yanateswa na umaskini uliosababishwa na uvivu wa wao wenyewe halaf wanazani umaskini wao umesababishwa na watu wakuja
 
Toa crip hiyo! HAKUNA maali popote Viongozi wa Urusi walitamka.
haya maswali hamkuuliza mwaka 2022 , kwahiyo hatutak midomo rudini kule mlikokuwa mnashabikia kuwa SMO ya muda mfupi kuwai kutokea kisha mkaulize sasa
 
Russia hayupo vitani, akitangaza Vita hata panya hawatkli nje mashimo. Yupo kwenye operation na lengo kubwa ni Donbase, kusaidia Watu kuwa huru.
achukue Donbas bas watu wawe huru mwaka 3 sasa, alisema saa 72 zingetosha
 
ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
Ni vile Russia hakuna uhuru wa vyombo vya habari ila kule hali ya uchumi ni tete.
 
Ni vile Russia hakuna uhuru wa vyombo vya habari ila kule hali ya uchumi ni tete.
nina mwanangu alikuwa kule mwaka 2023 wananchi wameminywa ila hawaitak kbs hii serikali , hali yao imekuwa ngumu na China anashika kila sekta sasa hv huko Urusi , wanadai UHURU WAO KAMA URUSI UPO MATATANI KWA CHINA
 
Huyu mwamba ni kiazi sana..Putin kamuonesha kuwa anaweza kumunyang'anya ugali mdomoni na asifanye kitu chochote.

Inshort ni kwambwa Russia anaweza kukuneutralize kwa namna nyingine kabisaa ambayo hukutegemea ukabaki umetoa mimacho yako mikubwa.

hapa ndo unakumbuka ule usemi kuwa kiongozi ambaye kapitia mafunzo ya ujasusi ni bora zaidi kuliko kiongozi ambaye anapitishwa na Raia kwa mihemuko ya utajiri na mali.

Natamani nchi yangu ilione hilo kwa jicho la tatu kabla ya kuweka watu kwenye madaraka.
Ulichosema ni sahihi kabisa. Putin alianza polepole kuingia Afrika kwa kuwaingiza Wagner kule Afrika ya Kati. Baadaye akaanza kunyang'anya Ufaransa Makoloni yake. Kwa sasa Afrika Magharibi yote huenda ikawa chini ya Himaya ya Urusi. Maana nchi zote zilizokuwa Makoloni ya Ufaransa zimeanza kufuta Mitaala ya Shule inayoendeshwa kwa Kifaransa na kuirudisha kwenye Lugha za asili yao.
 
Putin na Russia kama wamechanganyikiwa hvi sabb awali walitegemea operation Yao itachukua may be two weeks kama Putin alivosema awali..

Alipojichanyanya mamb yamekua tofauti na matarajio thus why kauli zake za siku hzi kam mnamsoma anatishia kutumia nyuklia..mara aseme vikosi vya nyuklia vikae mguu sawa..mara aseme vikosi vya nyuklia vikae Kwa tahadhar zote..hzi ni dalili za mtu alie disparete coz hakutegemea mamb yangekua hvo..

Conclusion... Russian camp ni loser!!
 
Back
Top Bottom