Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
Wewe ndo akili ndogo hata panzi anakuzidi ni biashara gani Russia wameuza bei ndogo?
 
Ndugu yangu najua hupendi kuukubali ukweli kwamba hii vita tayari Ukraine Kwa msaada wa NATO wameshapoteza.
Wakuu wa nchi za west na majenero wa majeshi ya west tayari wanalijua hilo.

Kama ni uchumi nadhani huna taarifa kua uchumi wao tayari umeshayumba sana.

Ukiona wanataka kuingiza majeshi Yao,ujue Ile misaada waliyokua wakitoa mwanzo haijaleta matokeo chanya,ndio maana wanataka wakajaribu kuingia west wote mazima.

Pokea ukweli huo mchungu..
Pia wakiingia mazima Urusi atajipigia CARIFONIA,New York, Pentagon n.k.
 
Huyu mwamba ni kiazi sana..Putin kamuonesha kuwa anaweza kumunyang'anya ugali mdomoni na asifanye kitu chochote.

Inshort ni kwambwa Russia anaweza kukuneutralize kwa namna nyingine kabisaa ambayo hukutegemea ukabaki umetoa mimacho yako mikubwa.

hapa ndo unakumbuka ule usemi kuwa kiongozi ambaye kapitia mafunzo ya ujasusi ni bora zaidi kuliko kiongozi ambaye anapitishwa na Raia kwa mihemuko ya utajiri na mali.

Natamani nchi yangu ilione hilo kwa jicho la tatu kabla ya kuweka watu kwenye madaraka.
Hili wasiwe vibaraka
 


Sio miaka ya ukoloni hii kila kitu kipo wazi,,,,Propaganda zenu na vikwazo vinafeli ,watu wamefunguka,,,,wamagharibi huko ndo wanalia
unapobisha usiweke ushabiki , Urusi si bibi yako
 
Mbona wale jamaa wameanza kulilia mikataba ya gesi ipelekwe haraka,,, anaelia anajulikana , Mrusi anaimalisha BRICS tu kuwaonyesha nguvu na uwezo anao,,,ahangaike na Afrika kwa lipi wakati ndo nchi yenye rasilimali nyingi anaweza akajifungia peke yake na uchumi ukaenda,,,wanaolia ni wamagharibi ambao chumi zao zilijengwa kwa kupora mali za nchi nyingine,,....Mjerumani huko hali tata maviwanda yanadorora nishati hamna ,gesi ya mrusi inawatoa kamasi
akil zako zinatia shaka
 
Mbona marekani wanasusa kupeleka pesa Ukraine kama kungekua na mafanikio, nayo hio blog??watu wameona wanapoteza pesa tu na mrusi anazidi kuwamega,,,na mtamegwa sana bado miaka 10 mingine
wanasusa hlf urusi hashindi vita , akil zako zinatia shaka
 
Wewe unaongea kwa hisia hisia tu..Bunge la Marekani bado limezuia msaada zaidi kwa Ukraine mpaka sasa, ndo maana Biden anajaribu kuongea sana ili wapitishe-bado ngoma nzito ndo kwanza wameenda likizo ya wiki 2.
Americans wanaongelea America First..na msiombe aingie Trump..ndo kaishasema hatatoa hata Tshs. 1 kwa Ukraine.

Pili kama kuna budget ya miaka 5, kwa nini Zelensky kila kukicha kila siku anaomba US na washirika wampatie msaada??
swala la Ukraine lina faida kubwa kwa america kuliko ufikiliavyo , hawawez mwacha Putin ashinde
 
ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
Afrika Kuna soko na malighafi nyingi ndio maana mfaransa kapaniki
 
Hata wewe ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwanini urusi kaingia kwa asilimia kubwa kwenye nchi zinazoongea kifaransa na kwanini nchi hizo huwa zinaongoza kwa umasikini na machafuko.

Na kwanini ufaransa ndiyo nchi inayochanganyikiwa zaidi na ushawishi wa urusi Afrika.
kwahiyo Afrika nchi zinazoongea kifaransa ndo maskini tu ? mkuu ebu cheki vzr your reasoning
 
Hahaa wanataka wamwage vikosi sababu maji yamewafika shingoni wanaona wanazidi kumegwa tu,,kama wangekua wamemuweza mrusi wangefikiria kuingia wao wenyewe? Hali imeshakua ngumu acha waingie na wao wachezee kichapo PUTIN AKILI KUBWA
kutoka kyiv to east ukraine ndo kumegwa?
 
[emoji81][emoji81]watu hawa kuamini kama Russiia kavamia hadi leo hawaamini mwamba alikua kama ana fanya mazoezi kumbe ndo dozi inaanza
kwa miaka 2 hii Russia imepitia mengi sana kuuana wao kwa wao ? moscow kupata milipuko kupoteza makamanda wao , kushusha bei bidhaa zao ili wapate soko ,Russia kuwa koloni la china ( warusi wanalalamika sana juu ya hili , kila kitu Urusi ni China made )
 
Back
Top Bottom