Wewe ndo akili ndogo hata panzi anakuzidi ni biashara gani Russia wameuza bei ndogo?ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
Russia hayupo vitani, akitangaza Vita hata panya hawatkli nje mashimo. Yupo kwenye operation na lengo kubwa ni Donbase, kusaidia Watu kuwa huru.Kwanini halipui saivi ule mji wa Kyiv? shughuli zinaenda kama kawaida
Pia wakiingia mazima Urusi atajipigia CARIFONIA,New York, Pentagon n.k.Ndugu yangu najua hupendi kuukubali ukweli kwamba hii vita tayari Ukraine Kwa msaada wa NATO wameshapoteza.
Wakuu wa nchi za west na majenero wa majeshi ya west tayari wanalijua hilo.
Kama ni uchumi nadhani huna taarifa kua uchumi wao tayari umeshayumba sana.
Ukiona wanataka kuingiza majeshi Yao,ujue Ile misaada waliyokua wakitoa mwanzo haijaleta matokeo chanya,ndio maana wanataka wakajaribu kuingia west wote mazima.
Pokea ukweli huo mchungu..
Ndio tafsri kamiri ya The Military Operation.Ni raha sana kummaliza adui taratibu kuliko kumfyeka fasta,,,mara ya kwanza alitaka hivyo ila baadae akaona akienda taratibu anaua ndege wengi kwa jiwe 1, kuanzia uchumi,kijamii na hadi mengine hapohapo anakuza influence ya BRICS , Putin akili kubwa
Hili wasiwe vibarakaHuyu mwamba ni kiazi sana..Putin kamuonesha kuwa anaweza kumunyang'anya ugali mdomoni na asifanye kitu chochote.
Inshort ni kwambwa Russia anaweza kukuneutralize kwa namna nyingine kabisaa ambayo hukutegemea ukabaki umetoa mimacho yako mikubwa.
hapa ndo unakumbuka ule usemi kuwa kiongozi ambaye kapitia mafunzo ya ujasusi ni bora zaidi kuliko kiongozi ambaye anapitishwa na Raia kwa mihemuko ya utajiri na mali.
Natamani nchi yangu ilione hilo kwa jicho la tatu kabla ya kuweka watu kwenye madaraka.
Toa crip hiyo! HAKUNA maali popote Viongozi wa Urusi walitamka.Unamtilia putini maneno mdomoni, kwisha jamaa yako alisema atamaliza kazi within 72hrs sasa mwaka 3 unaingia
Akiri za mashoga ni km ngoma ya Watoto.Na wa 5 utaingia ,nikuulize hadi sasa nani anaumia na hivyo vikwazo? Na tokea vita ianze uchumi wa nani umepanda na wa nani umeshuka? Putin akili kubwa ma LGBT kazi imekua ngumu
Toa clipkumbuka Putin alipitisha sheria ya bunge kuwaongezea kodi wananchi wake kutokana na uchumi kuanguka na nchi imo kwenye vita, sasa utaniambia nani anaanguka kiuchumi nyinyi mnalishwa tu maneno
Kidonge na maji ya kumezeaMbona marekani wanasusa kupeleka pesa Ukraine kama kungekua na mafanikio, nayo hio blog??watu wameona wanapoteza pesa tu na mrusi anazidi kuwamega,,,na mtamegwa sana bado miaka 10 mingine
unapobisha usiweke ushabiki , Urusi si bibi yakoWar in Ukraine: Sanctions against Russia have had limited effect
The Russian economy, expected to grow by 2.6% in 2024, has only been slightly hampered by the retaliatory measures taken after the invasion, which are largely being circumvented via India and China.www.lemonde.fr
Sio miaka ya ukoloni hii kila kitu kipo wazi,,,,Propaganda zenu na vikwazo vinafeli ,watu wamefunguka,,,,wamagharibi huko ndo wanalia
akil zako zinatia shakaMbona wale jamaa wameanza kulilia mikataba ya gesi ipelekwe haraka,,, anaelia anajulikana , Mrusi anaimalisha BRICS tu kuwaonyesha nguvu na uwezo anao,,,ahangaike na Afrika kwa lipi wakati ndo nchi yenye rasilimali nyingi anaweza akajifungia peke yake na uchumi ukaenda,,,wanaolia ni wamagharibi ambao chumi zao zilijengwa kwa kupora mali za nchi nyingine,,....Mjerumani huko hali tata maviwanda yanadorora nishati hamna ,gesi ya mrusi inawatoa kamasi
wanasusa hlf urusi hashindi vita , akil zako zinatia shakaMbona marekani wanasusa kupeleka pesa Ukraine kama kungekua na mafanikio, nayo hio blog??watu wameona wanapoteza pesa tu na mrusi anazidi kuwamega,,,na mtamegwa sana bado miaka 10 mingine
mnaikataa hiyo kauli siku hz ? wkt mlikuwa mnasema ndo itakuwa SMO fupi zaidHivi lini alisemaga hivyo? Unayo link yeyote wakati akisema hivyo?
swala la Ukraine lina faida kubwa kwa america kuliko ufikiliavyo , hawawez mwacha Putin ashindeWewe unaongea kwa hisia hisia tu..Bunge la Marekani bado limezuia msaada zaidi kwa Ukraine mpaka sasa, ndo maana Biden anajaribu kuongea sana ili wapitishe-bado ngoma nzito ndo kwanza wameenda likizo ya wiki 2.
Americans wanaongelea America First..na msiombe aingie Trump..ndo kaishasema hatatoa hata Tshs. 1 kwa Ukraine.
Pili kama kuna budget ya miaka 5, kwa nini Zelensky kila kukicha kila siku anaomba US na washirika wampatie msaada??
Afrika Kuna soko na malighafi nyingi ndio maana mfaransa kapanikiungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
kwahiyo Afrika nchi zinazoongea kifaransa ndo maskini tu ? mkuu ebu cheki vzr your reasoningHata wewe ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwanini urusi kaingia kwa asilimia kubwa kwenye nchi zinazoongea kifaransa na kwanini nchi hizo huwa zinaongoza kwa umasikini na machafuko.
Na kwanini ufaransa ndiyo nchi inayochanganyikiwa zaidi na ushawishi wa urusi Afrika.
kutoka kyiv to east ukraine ndo kumegwa?Hahaa wanataka wamwage vikosi sababu maji yamewafika shingoni wanaona wanazidi kumegwa tu,,kama wangekua wamemuweza mrusi wangefikiria kuingia wao wenyewe? Hali imeshakua ngumu acha waingie na wao wachezee kichapo PUTIN AKILI KUBWA
wamepaniki haochanzo kwani links tu, putin alitangaza Television zote wiki ya kwanza sasa mnatafuta link
Moscow ina milipuko kila mara mpo busy kujifariji humuMngekua mmeweza kumzuia mrusi msingewaza kupeleka vikosi, kikubwa mmezidiwa na bado mrusi anawamega taaratibu kama atakavyo
kwa miaka 2 hii Russia imepitia mengi sana kuuana wao kwa wao ? moscow kupata milipuko kupoteza makamanda wao , kushusha bei bidhaa zao ili wapate soko ,Russia kuwa koloni la china ( warusi wanalalamika sana juu ya hili , kila kitu Urusi ni China made )[emoji81][emoji81]watu hawa kuamini kama Russiia kavamia hadi leo hawaamini mwamba alikua kama ana fanya mazoezi kumbe ndo dozi inaanza