Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Lakini watu wanavuka bahari.Sio kwamba hauvuki bahari🤣🤣🤣🤣🤣
Mswahili hawezi mloga Mzungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini watu wanavuka bahari.Sio kwamba hauvuki bahari🤣🤣🤣🤣🤣
.Muhimu kujitambua, kuangalia vitu kwa miaka mia mbili karne zijazo.Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake
Hizo ni story tu tumeshindwa vipi sasa kuviendeleza.Muhimu kujitambua, kuangalia vitu kwa miaka mia mbili karne zijazo.
Tuĺikuwa vizuri kwa miaka zaidi ya 3000. Ustaraabu wote kila kitu vimetokea hapa Afrika vikishuka kutoka River Victoria.
Hizo ni story tu tumeshindwa vipi sasa kuviendeleza
Mbona sasa wao wanatuloga sie...waganga wao wamepata wapLakini watu wanavuka bahari.
Mswahili hawezi mloga Mzungu
Hiyo hiyo management ndiyo kutawaliwa kwenyewe huko, japo ni kwa kivuli cha uongozi.Ni ngumu Sana kwa afrika kuendelea sababu hatuna mifumo ya maendeleo. Labda tununue management ya kutuongozwa toka nje
Bora kama tumeshindwa je, uarabuni management nyingi wamenunua nje thus wameendelea.Mfano madirector,mameneja wengi sio waarabu,sales personal,wafanyakazi wengi wanatoka india, philippines,nk thus wameendelea.Hiyo hiyo management ndiyo kutawalisa kwenyewe huko, japo ni kwa kivuli cha uongozi.
Mameneja wengi pale ni Wazungu, Pilots,hostess, wauzaji kwenye maduka, cleaners, drivers ni kutoka nchi nyingine. Ulaya, Philipines, Afrika, Uganda, Kenya, Eritreria, Sudan, Ethiopia,Pakistan, India.
Tanzania tunaweza kuwaajiri wenye uwezo, tunawapa targets, tunawasimamia.
Ndani ya miaka kumi tunapata maendeleo makubwa sana.
Muhimu kufikiri vizazi vijavyo. Kuweka misingi, mifumo itakayosaidia Watanzania wote huko mbeleni.
Wenzetu wanayo misingi thabiti. Haijali Familia cheo, utajiri, umaskini. Wote mpo sawa mbele ya sheria, mamlaka yoyote.
Mfano, elimu, bure, afya kila mtu analipa kidogo, insurance, makazi serikali ikijenga nyumba nyingi na kuzipangisha watapata mapato ya kutosha, imagine watu milioni tano wanapangisha.
Nchi hii Tanganyika ina rasilimali zaidi ya Ulaya nzima, vivutio vinavyopatikana Tanzania tu, madini, Ardhi, watu, bado tuna-struggle kupata chakula.
Ni sera, vision, seriousness ya watu walioko juu. Tukiwaweka wahuni,hatuwezi kufanikiwa kamwe.
Bora kama tumeshindwa je, uarabuni management nyingi wamenunua nje thus wameendelea.Mfano madirector,mameneja wengi sio waarabu,sales personal,wafanyakazi wengi wanatoka india, philippines,nk thus wameendelea.
Sisi tumeshindwa kujiongoza
Huo ndio uhalisia jamaa malighafi nyingi wanategemea kuiba Africa.Bila kutawala Afrika Ulaya hakuna kitu. Utajiri wa Ulaya, Ufaransa, UK, Spanish, Portugal,USA kwa kiasi kikubwa unatokana na vitu kutoka Afrika.
Cocoa, Slaves, Sugar, cotton, plantation Waafrika wakisota kulima kwa miaka zaidi ya 400.