#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Hiyo ni kanuni ya Dunia itafika na huku kila mtu lazima achanje,wote mnaosema hamtachanja itafika wakati utachanja kwa lazima maana hutoruhusiwa kwenye huduma nyingi

Ni kweli mkuu. Ni neema ya Mungu tu ndio itayowakomboa watoto wake tena wale ambao ameshawachagua toka mwanzo.

Wengine tungojee chapa tu kama kwenye daftari la mbinguni haumo
 
Ni kweli mkuu. Ni neema ya Mungu tu ndio itayowakomboa watoto wake tena wale ambao ameshawachagua toka mwanzo.

Wengine tungojee chapa tu kama kwenye daftari la mbinguni haumo
Wewe fanya yako hatima ya Binadamu ni ya Mungu,hapa kaisari anapewa vyake na Mungu anapewa vyake pia
 
Hakuna cha 666 wala cha 777, kuna wakati unakuja ambapo chanjo itakua lazima kila mahali kwa sababu raia wanategemea kupata huduma zilizo nyingi kutoka serikalini Elimu,Afya, Ulinzi nk na huku kote huwezi kuingia bila cheti maalum cha chanjo. Muda utatoa majibu.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
shauri yao huko ufaransa
 
Kitabu cha Mungu kinachothitisha uwepo wa Mungu kama hiyo namba 666 na leo ufaransa hakuna kufika sokoni kama hujachanja.
This is circuitous. Nakuuliza uthibitishe Mungu yupo, kabla hujathibitisha Mungubyupo umekuja na kitabu cha Mungu.

Umejuaje hicho kitabu ni cha Mungu kweli na hakijaandikwa na watu tu kisha ukaambiwa ni cha Mungu kwa uongo?
 
Unaweza kuthibitisha mungu hayupo
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Uwepo wake unakanushwa na "the problem of evil".

Pia, kwa kuangalia entropy katika physics, Mungu ambaye ni perfection hayupo.

Kwa sababu, katika entropy physics, the most perfect state is nonexistence, any deviation from that state increases entropy and therefore increases imperfection.

Therefore that perfect God is universal nonexistence, but we see existence in the unuverse, therefore, this proves that God does not exist.
 
Kweli Dunia inakwenda kasi sana. Yaani tumefikia huku kweli kama Dunia?. Kulazimishana kuuana ma machanjo ya kifo?.

Yote hayo huko ufaransa ni propaganda tu. Yote kwa yote wanailenga Africa tu. Wanatamani sana kuipukutisha Africa.

Kwenye corona nafikiri walioitengeneza walikosea kwenye maswala ya vinasaba,hawakuzingatia vinasaba. Kwa hiyo ikawapiga sana wao. Wakaendelea tu kutabiri kufikia wiki ijayo Africa itapukutika,watakuwa wanazolewa maiti na kijiko barabarani,lakini MUNGU alivyo na maajabu yake,inaendelea kuwapiga huko huko kwao,mpaka sasa inaendelea kuwapukutisha sana kwao tofauti na vifo vya Africa.

Wametaharuki,lengo ilikuwa Africa lakini inawapiga wao. Wakabadiri gear angani wamekuja na chanjo kama hiari,baadae itakuwa lazima. Hapo kuna uwezekano kabisa chanjo iliyoletwa Africa sio wanayochanja wao.

MUNGU ataendelea kututetea na uboya wetu.
Yeah alinukuliwa hivyo Melinda, baadae huenda aliujua ukweli dhamira ikamsuta hatimaye akaamua kutengana na Bill.
 
Nionyeshe kiwanda cha kuzalisha damu
This is a logical non sequitur.

Nakuuliza unaweza kuthibitisha una dola milioni moja?

Unaniuliza bei ya kilo moja ya nguruwe China ni shilingi ngapi?

Swali lako halina uhusiano wowote na swali nililokuuliza.

Kimantiki umefanya kosa linaitwa "non sequitur".

Kitaa tunasema umechanganya madawa.
 
Hii chanjo sio 666 ila ni maandalizI ya hio grand finale ili ikija isiwe jambo geni sana miongoni mwa wakaazi wa planet earth
The NEW WORLD ORDER IS REAL
 
666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Ni kama wanajarbu kuona kama itawezekana na imeonesha dhairi kua inawezekana ,Tumuombe Mungu kwa kweli karbia tunaingia kwenye dhiki kuu
 
This is a logical non sequitur.

Nakuuliza unaweza kuthibitisha una dola milioni moja?

Unaniuliza bei ya kilo moja ya nguruwe China ni shilingi ngapi?

Swali lako halina uhusiano wowote na swali nililokuuliza.

Kimantiki umefanya kosa linaitwa "non sequitur".

Kitaa tunasema umechanganya madawa.
Ukikosa jibu kuhusu kiwanda cha Damu mahali kilipo, basi kaa kimya usijiaibishe mbele ya unayemuuliza!!

Sayansi na vilivypo, nani alianza nyuma ya mwenzake?

sayansi ni uchunguzi wa vilivyopo na kisha uvumbuzi kutokana na vilivyopo na si zaidi ya hapo, Umewahi kujiuliza, sayansi kama ingekosa vitu vya kufanyia uchunguzi (matirio) Je, kungekuwa na cha kujivunia juu ya sayansi, na hata hivyo, Sayansi haijawahi kuunda chochote kinachoweza kutengeneza damu, Je Damu asili yake nini?
 
Nadhibitisha Mungu yupo kwasababu sisi tupo ukiwepo na wewe, sasa Wewe dhibitisha kama Mungu hayupo
Kwanza unalazimisha hoja zisizo na uhusiano ziwe na uhusiano. Sisi kuwepo hakuthibitishi Mungu yupi, kunathibitisha sisi tupo.

Pili una kithembe cha kuandika hujui tofauti ya thibitisha nadhibitsha, jifunze herufi za Kiswahili kwanza, ukiweza kuandika "thibitisha" rudi hapa.

Kama huwezi kuandika Kiswahili tu, napata shaka kukubali kwamba unaweza kujadili falsafa za juu za uwepo wa Mungu.
 
Ukikosa jibu kuhusu kiwanda cha Damu mahali kilipo, basi kaa kimya usijiaibishe mbele ya unayemuuliza!!
Kiwanda cha damu kinahusana vipi na uwepo wa Mungu?

Na umejuaje damu inatengenezwa kiwandani? Kwa nini swali liulize kiwanda cha damu?
 
Kiwanda cha damu kinahusana vipi na uwepo wa Mungu?

Na umejuaje damu inatengenezwa kiwandani? Kwa nini swali liulize kiwanda cha damu?
Uliza tena kwa umakini mkuu, hueleweki, mimi nimekuuliza, kwa kuwa unaona sayansi inaweza kila kitu na ndiyi maana unahoji juu ya uwepo wa Mungu, nikakuuliza, nionyeshe basi kiwanda cha Damu, na ukikosa jibu, anza kujiuliza kwamba, Damu asili yake nini? utapata jibu
 
Kwa nini swali liwe la kiwanda cha damu?

Kwa nini hujauliza kisima cha damu, bomba la damu, mto wa damu, ziwa la damu, bahari ya damu, mvua ya damu etc.

Umeuliza kiwanda cha damu.

Hiyo habari ya kiwanda cha damu imeanzia wapi?
 
Huna hoja wewe, kwa hiyo hayo maziwa ya damu, damu yake inafaa kwa mwili wako?

Anza kuamini kuwa Mungu Yupo!
 
Huna hoja wewe, kwa hiyo hayo maziwa ya damu, damu yake inafaa kwa mwili wako?

Anza kuamini kuwa Mungu Yupo!
Hujajibu swali.

Habari ya kiwanda cha damu imeanzia wapi?

Umeleta ujinga ambao huwezi kuutetea hapa. Halafu unasema mimi ndiye sina hoja.

Ushuzi unajamba wewe, halafu lawama unanipa mimi!

Nani kakwambia damu inatengenezwa kiwandani?

Nikikataa kuamini Mungu yupo utanifanya nini?
 
Back
Top Bottom