Unasemaje wewe?unaachaje kutoka kwenye ujinga.
Hiyo ni kanuni ya Dunia itafika na huku kila mtu lazima achanje,wote mnaosema hamtachanja itafika wakati utachanja kwa lazima maana hutoruhusiwa kwenye huduma nyingi
Wewe fanya yako hatima ya Binadamu ni ya Mungu,hapa kaisari anapewa vyake na Mungu anapewa vyake piaNi kweli mkuu. Ni neema ya Mungu tu ndio itayowakomboa watoto wake tena wale ambao ameshawachagua toka mwanzo.
Wengine tungojee chapa tu kama kwenye daftari la mbinguni haumo
Akili ni nini?Unaweza kuthibitisha kwamba unazo akili na zinapatikana sehumu gani katika mwili wako?
shauri yao huko ufaransaNawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.
Mungu ni mwema wakati wote!
This is circuitous. Nakuuliza uthibitishe Mungu yupo, kabla hujathibitisha Mungubyupo umekuja na kitabu cha Mungu.Kitabu cha Mungu kinachothitisha uwepo wa Mungu kama hiyo namba 666 na leo ufaransa hakuna kufika sokoni kama hujachanja.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Unaweza kuthibitisha mungu hayupo
Mpaka imeanza kuvunda 🤣🤣Hata hivyo, dunia imekaa sana aisee,
Yeah alinukuliwa hivyo Melinda, baadae huenda aliujua ukweli dhamira ikamsuta hatimaye akaamua kutengana na Bill.Kweli Dunia inakwenda kasi sana. Yaani tumefikia huku kweli kama Dunia?. Kulazimishana kuuana ma machanjo ya kifo?.
Yote hayo huko ufaransa ni propaganda tu. Yote kwa yote wanailenga Africa tu. Wanatamani sana kuipukutisha Africa.
Kwenye corona nafikiri walioitengeneza walikosea kwenye maswala ya vinasaba,hawakuzingatia vinasaba. Kwa hiyo ikawapiga sana wao. Wakaendelea tu kutabiri kufikia wiki ijayo Africa itapukutika,watakuwa wanazolewa maiti na kijiko barabarani,lakini MUNGU alivyo na maajabu yake,inaendelea kuwapiga huko huko kwao,mpaka sasa inaendelea kuwapukutisha sana kwao tofauti na vifo vya Africa.
Wametaharuki,lengo ilikuwa Africa lakini inawapiga wao. Wakabadiri gear angani wamekuja na chanjo kama hiari,baadae itakuwa lazima. Hapo kuna uwezekano kabisa chanjo iliyoletwa Africa sio wanayochanja wao.
MUNGU ataendelea kututetea na uboya wetu.
This is a logical non sequitur.Nionyeshe kiwanda cha kuzalisha damu
Ni kama wanajarbu kuona kama itawezekana na imeonesha dhairi kua inawezekana ,Tumuombe Mungu kwa kweli karbia tunaingia kwenye dhiki kuu666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Ukikosa jibu kuhusu kiwanda cha Damu mahali kilipo, basi kaa kimya usijiaibishe mbele ya unayemuuliza!!This is a logical non sequitur.
Nakuuliza unaweza kuthibitisha una dola milioni moja?
Unaniuliza bei ya kilo moja ya nguruwe China ni shilingi ngapi?
Swali lako halina uhusiano wowote na swali nililokuuliza.
Kimantiki umefanya kosa linaitwa "non sequitur".
Kitaa tunasema umechanganya madawa.
Kwanza unalazimisha hoja zisizo na uhusiano ziwe na uhusiano. Sisi kuwepo hakuthibitishi Mungu yupi, kunathibitisha sisi tupo.Nadhibitisha Mungu yupo kwasababu sisi tupo ukiwepo na wewe, sasa Wewe dhibitisha kama Mungu hayupo
Kiwanda cha damu kinahusana vipi na uwepo wa Mungu?Ukikosa jibu kuhusu kiwanda cha Damu mahali kilipo, basi kaa kimya usijiaibishe mbele ya unayemuuliza!!
Uliza tena kwa umakini mkuu, hueleweki, mimi nimekuuliza, kwa kuwa unaona sayansi inaweza kila kitu na ndiyi maana unahoji juu ya uwepo wa Mungu, nikakuuliza, nionyeshe basi kiwanda cha Damu, na ukikosa jibu, anza kujiuliza kwamba, Damu asili yake nini? utapata jibuKiwanda cha damu kinahusana vipi na uwepo wa Mungu?
Na umejuaje damu inatengenezwa kiwandani? Kwa nini swali liulize kiwanda cha damu?
Kwa nini swali liwe la kiwanda cha damu?Uliza tena kwa umakini mkuu, hueleweki, mimi nimekuuliza, kwa kuwa unaona sayansi inaweza kila kitu na ndiyi maana unahoji juu ya uwepo wa Mungu, nikakuuliza, nionyeshe basi kiwanda cha Damu, na ukikosa jibu, anza kujiuliza kwamba, Damu asili yake nini? utapata jibu
Huna hoja wewe, kwa hiyo hayo maziwa ya damu, damu yake inafaa kwa mwili wako?Kwa nini swali liwe la kiwanda cha damu?
Kwa nini hujauliza kisima cha damu, bomba la damu, mto wa damu, ziwa la damu, bahari ya damu, mvua ya damu etc.
Umeuliza kiwanda cha damu.
Hiyo habari ya kiwanda cha damu imeanzia wapi?
Hujajibu swali.Huna hoja wewe, kwa hiyo hayo maziwa ya damu, damu yake inafaa kwa mwili wako?
Anza kuamini kuwa Mungu Yupo!