#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Nadhani wewe ndio utakua mpuuzi usomi upi unaozungumzia?

Wasomi wapi unaowazungumzia ? Au ndio PhD za kina Gwajima??

PhD ya Jiwe ndio alifundishwa darasani kuwa chanjo zimeletwa na beberu kuja kuua? Chanjo ngapi tunatengeneza za kuanzia watoto?

Mbona chanjo 99% ni import ! ? Hilo darasa la Pharmacology jiwe alilosoma aliambiwa kuna dawa haina side effect??

Huoni hata akina Kigwangalla wamemgeuka means kulikua na kitu nyuma ya maamuzi ya hovyo..

Leo hii tunasikia KCMC inatumia hadi mitungi ya Oxygen 400 kwa siku halafu wanakuja wapumbavu hapa kuongea ujinga ujinga..

Huku nilipo wanaogua na kulazwa asilima nyingi ni ambao hawajachanjwa na ndio chanzo cha kuleta variant mpya ndio maana waliochanjwa hushauriwa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari ila risk sio kubwa kama ambao hawajachanjwa..

Wewe piga domo babu yako sjui anafanyaje ila ikimkuta vizuri ndio utaelewa si boss wenu alisema korona ni futa na kahoma kadogo..!
aisee, unamatatizo kibao na inabidi uambiwe tu hamna namnanamnah
 
Nyie jamaa wapuuzi sana, hao wazungu waliowaletea hao miungu mnaowaabudu, biblia na huo uchafu mwingine wanachanja! Nyie mlioletewa hivyo vitu ili muwe makondoo wawatawale vizuri hamtaki kuchanja, kwa hakika itatuchukua muda mrefu waafrika kufunguka bongo zetu
Mimi siabudu miungu ya wazungu wala mizimu ya watu weusi hilo umelisema wewe, ninamwabudu Mungu Mwenyezi aliyeumba mbingu na nchi na ambaye pia anajitambulisha kama Mungu wa Israeli....
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
Tunalitaka na huku, wewe uache kuchanja ili uambukize wengine?
bila chanjo hakuna Hospitali, Kusafiri
 
Mkuu ondoa hofu siyo hii.
Kumbuka chukizo la uharibifu wa patakatifu, hapo ndipo viongozi wa kisiasa watakapoungana na kidini ili kuanza kuliharibu hekalu (mwili) ambapo Mungu atachukizwa, Luke 21:9...

Kumbuka mwisho hauji mpaka kila kiumbe chenye damu na uelewa kitakaposikia neno la Mungu, Mathew 24:1...
Blaza utajikuta umechelewa nyakati ndio hizi...
neno la Mungu kila kiumbe kinasikia lkn wanaouuza
 
aisee, unamatatizo kibao na inabidi uambiwe tu hamna namnanamnah
images (54).jpeg
Sikiliza MATAGA..

Mwaka 2011 Babu wa Loliondo alipozindua kikombw chake huyo mungu wenu wa chato na watanzania wengine bila kushinikizwa walienda kwa hiyari yao kupata kikombe .

Kikombe hicho kuna watu immediately baada ya kukipata walipona na kuna wengine hawakuchukua muda walipoteza maisha....

Hakuna therapeutic profile studies zilizofanyika kuhusu kikombe kile bali watu walienda kwa hiyari yao na akiwemo jiwe mwenyewe

Guess what 2020 ugonjwa wa UVIKO umekuja ugonjwa , watu wahitaji chanjo yeye anazuia wakati duniani inatumika😀!

Watu wangapi walihitaji chanjo kutokana na pre-existing comorbidities walizokua nazo na waliikosa hadi kufariki baada ya kupitiwa na wimbi la pili?

Jiwe alikuwemo kwenye clinical trial ya hicho kikombe? Pharmacognosy jiwe aliisoma wapi kuweza kupata kikombe ambacho kipindi hicho hakikuwahi kuthibitishwa na mamlaka yoyote kuwa ni salama au si salama?

Watu wangapi walikiamini hiki kikombe wakaacha dawa zao kutokana na magonjwa yao ya muda mrefu wakafariki???

Wangapi walipata drug-drug interaction kutokana na kutumia both synthetic na herbal products..??

It's high time MATAGA Mkae mtafakari kiburi cha boss wenu na wasaidizi wake kiligharimu maisha ya watu kwa wave ya 1 na ya 2 huku mkiweka kando misifa ya kijinga na kuangalia utu!
 
Jamani acha ujinga hili swala nila afya ya mwili sio roho,mna weka mizunguko mingi kama unahitaji chnjo then chanja kama huitaji step back miasita stini na sita.. are all nonsense.
Wanajifanya hawataki CHANJO. Kesho Mzungu akitangaza CHANJO Ya Ukimwi wote Mtakimbilia bila hata kuulizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajiona mna akili kuliko Shetani. Mwenzenu Yesu alimuita baba wa UONGO alikuwa a namaanisha kwa jamaa ni mdanganyifu kweli. Mnalozania kuwa ndio kumbe kwake wala sio ila Yeye anapiga mipango yake mingine kimya kimya.
Siku mtakuja kushtuka jamaa kawashika kupitia kwingine kabisa mtabaki Ayaaa! Mbona hatukuona hili.
Now huko Duniani dini zinaonganishwa kuwa Moja (kwamba eti tunaabudu Mungu mmoja wote eti wahindu Islam budha Christians na jews[emoji23][emoji23][emoji23]) ila watu hawalioni hilo watakuja kushtuka tayari Kuna COEXIST RELIGION kufumba na kufumbua mara no paper money only CRYPTO CURRENCY ndo mtajua yule bwana mapembe ni noma huku nyie mko busy kupotoshana kuhusu Corona....[emoji23][emoji23][emoji23] Watu weusi tuna shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Labda tayari alishakuja na kuwanyakua; wao tu ndio waliomuona. Mliobakia mmekabidhiwa kwa mpiga chapa ya 666. 🤔🙄
 
Hapi ndio uone ukweli wa kwamba chanjo walizo chanja sio salama, maana kama walichanja wanawaogopa nini ambao haja chanja
 
View attachment 1873700Sikiliza MATAGA..

Mwaka 2011 Babu wa Loliondo alipozindua kikombw chake huyo mungu wenu wa chato na watanzania wengine bila kushinikizwa walienda kwa hiyari yao kupata kikombe .

Kikombe hicho kuna watu immediately baada ya kukipata walipona na kuna wengine hawakuchukua muda walipoteza maisha....

Hakuna therapeutic profile studies zilizofanyika kuhusu kikombe kile bali watu walienda kwa hiyari yao na akiwemo jiwe mwenyewe

Guess what 2020 ugonjwa wa UVIKO umekuja ugonjwa , watu wahitaji chanjo yeye anazuia wakati duniani inatumika😀!

Watu wangapi walihitaji chanjo kutokana na pre-existing comorbidities walizokua nazo na waliikosa hadi kufariki baada ya kupitiwa na wimbi la pili?

Jiwe alikuwemo kwenye clinical trial ya hicho kikombe? Pharmacognosy jiwe aliisoma wapi kuweza kupata kikombe ambacho kipindi hicho hakikuwahi kuthibitishwa na mamlaka yoyote kuwa ni salama au si salama?

Watu wangapi walikiamini hiki kikombe wakaacha dawa zao kutokana na magonjwa yao ya muda mrefu wakafariki???

Wangapi walipata drug-drug interaction kutokana na kutumia both synthetic na herbal products..??

It's high time MATAGA Mkae mtafakari kiburi cha boss wenu na wasaidizi wake kiligharimu maisha ya watu kwa wave ya 1 na ya 2 huku mkiweka kando misifa ya kijinga na kuangalia utu!
ujinga ujinga tupu, bichwa limejaa maji maji wewe,

Hekima yako inasoma 0!
 
Mimi siabudu miungu ya wazungu wala mizimu ya watu weusi hilo umelisema wewe, ninamwabudu Mungu Mwenyezi aliyeumba mbingu na nchi na ambaye pia anajitambulisha kama Mungu wa Israeli....
Wewe ni muisrael hadi uabudu huyo Mungu wao? Huyo Mungu wa Israel ndiye huyo kaletwa na wazungu kwenye meli, ili kuwafanya muwe makondoo wawatawale vizuri!! Walimtumia huyo Mungu wako kuwapiga chains babu zako na kuwatumikisha kama wanyama
 
View attachment 1873700Sikiliza MATAGA..

Mwaka 2011 Babu wa Loliondo alipozindua kikombw chake huyo mungu wenu wa chato na watanzania wengine bila kushinikizwa walienda kwa hiyari yao kupata kikombe .

Kikombe hicho kuna watu immediately baada ya kukipata walipona na kuna wengine hawakuchukua muda walipoteza maisha....

Hakuna therapeutic profile studies zilizofanyika kuhusu kikombe kile bali watu walienda kwa hiyari yao na akiwemo jiwe mwenyewe

Guess what 2020 ugonjwa wa UVIKO umekuja ugonjwa , watu wahitaji chanjo yeye anazuia wakati duniani inatumika😀!

Watu wangapi walihitaji chanjo kutokana na pre-existing comorbidities walizokua nazo na waliikosa hadi kufariki baada ya kupitiwa na wimbi la pili?

Jiwe alikuwemo kwenye clinical trial ya hicho kikombe? Pharmacognosy jiwe aliisoma wapi kuweza kupata kikombe ambacho kipindi hicho hakikuwahi kuthibitishwa na mamlaka yoyote kuwa ni salama au si salama?

Watu wangapi walikiamini hiki kikombe wakaacha dawa zao kutokana na magonjwa yao ya muda mrefu wakafariki???

Wangapi walipata drug-drug interaction kutokana na kutumia both synthetic na herbal products..??

It's high time MATAGA Mkae mtafakari kiburi cha boss wenu na wasaidizi wake kiligharimu maisha ya watu kwa wave ya 1 na ya 2 huku mkiweka kando misifa ya kijinga na kuangalia utu!
Unaandika liwaya?

Nilidhani utakuja na angalau jina moja tu la nchi ambayo hakuna vifo vitokanavyo na Corona, badala yake unaandika ujinga mtupu
 
Wewe ndio umeona ujinga sababu ulisupport mawazo ya kijinga unaachaje kutoka kwenye ujinga.?
 
Hapi ndio uone ukweli wa kwamba chanjo walizo chanja sio salama, maana kama walichanja wanawaogopa nini ambao haja chanja
Chanjo ni biashara za wakubwa, ifanye kazi au isifanye lazima inunuliwe na watu wachanjwe.
 
Back
Top Bottom