#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Unaelewa maana ya Zamani??

Hujui aliyekuwa akizuia chanjo kwa kusema chanjo ni mkakati wa mabeberu wa kuua waafrica??

Kuhusu vifo hujiulizi why huyo huyo mzuia chanjo aligoma utoaji wa takwimu za kila siku either kwa wagonjwa wapya,waliopona na hata vifo ! Watu wengi tu waliugua na kupona kadhalika na vifo pia tangu May 2020 mzuia chanjo aliwahadaa mtembee kifua mbele huku wimbi la pili likizoa watu wengi January na February 2021.

Kuhusu vifo vya Covid related nadhani urudi darasani ujue kuwa uwepo wa covid kwa mtu mwenye pre-existing comorbidities ni contributing factor na ndio chanzo kitakachotumia kucertify death , mtu kama alikua na DM au HIV leo hii kimbunga covid kikamvaa kwa sababu hakupata chanjo kwa wakati utasema amekufa kwa covid au DM?

Haihitaji kuwa na PhD kujua tu walikufa watu wengi sababu hakukua na uwazi na kukosekana kwa uwazi ndio tabia hata za CCM kwenye chaguzi ! Kataa chanjo zurura hovyo ila covid ikikupata kama aliyesema ni futa tu pengine hutopata wasaa wa kuja hata kutoa ushuhuda..
 
Unaelewa maana ya Zamani??
Sijui wewe unaposema zamani labda una maana nyingine.
Hujui aliyekuwa akizuia chanjo kwa kusema chanjo ni mkakati wa mabeberu wa kuua waafrica??
Nimekwambia tena,hakuna sehemu kuna kiongozi amewahi kuzuia chanjo tz.
Kuhusu vifo hujiulizi why huyo huyo mzuia chanjo aligoma utoaji wa takwimu za kila siku either kwa wagonjwa wapya,waliopona na hata vifo
vifo vyote ni corona??
! Watu wengi tu waliugua na kupona kadhalika na vifo pia tangu May 2020
Kwahiyo wewe takwimu ulizitoa wapi kama alikuwa akizuia,na je kabla ya hapo wwatu walikua hawaugui na kufariki tz??
mzuia chanjo aliwahadaa mtembee kifua mbele huku wimbi la pili likizoa watu wengi January na February 2021.
Mimi ni miongoni mwa tuliotembea,tunatembea kifua mbele,sijafa bado.wewe ulikufa??
Kuhusu vifo vya Covid related nadhani urudi darasani ujue kuwa uwepo wa covid kwa mtu mwenye pre-existing comorbidities ni contributing factor na ndio chanzo kitakachotumia kucertify death ,
unaujua ukimwi???embu hubiri haya kuhusu ukimwi.
mtu kama alikua na DM au HIV leo hii kimbunga covid kikamvaa kwa sababu hakupata chanjo kwa wakati utasema amekufa kwa covid au DM?
Kama covid inaua wenye kinga hafifu,ingawa sina uhakika kama ni kweli,kwanini chanjo inasukumwa kilazima kwa watu wote??
Haihitaji kuwa na PhD kujua tu walikufa watu wengi sababu hakukua na uwazi na kukosekana kwa uwazi ndio tabia hata za CCM kwenye chaguzi !
mshangao wangu ni wewe takwimu za vifo vya corona umetoa wapi,na hazikuwa zikitolewa.
Kataa chanjo zurura hovyo ila covid ikikupata kama aliyesema ni futa tu pengine hutopata wasaa wa kuja hata kutoa ushuhuda..
Corona ipo,na maisha yapo,chagua moja la kushughulika nalo.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!

--------

Bunge la Ufaransa limeidhinisha muswada mbao utahitaji mtu kuwa na pasi ya afya kwenda kwenye migahawa, baa, treni na ndege kuanzia mwanzoni mwa Agosti.

Sehemu zote zinazochukua zaidi ya watu 50 tayari zinahitaji uthibitisho wa chanjo ya Covid-19, hii ni pamoja na maeneo ya makumbusho, sinema na mabwawa ya kuogelea.

Rais Emmanuel Macron amesema wanahitaji kulinda idadi ya watu na hospitali wakati ambao maambukizi yanapoongezeka.

--------

The French parliament approved a bill early Monday that will require a health pass for access to restaurants, bars, trains and planes from the beginning of August. All venues accommodating more than 50 people already require proof of vaccination or a recent negative Covid-19 test, including museums, cinemas and swimming pools.

France's parliament approved a law early Monday requiring special virus passes for all restaurants and domestic travel and mandating vaccinations for all health workers.

Both measures have prompted protests and political tensions.

President Emmanuel Macron and his government say they are needed to protect vulnerable populations and hospitals as infections rebound and to avoid new lockdowns.

The law requires all workers in the health care sector to start getting vaccinated by Sept. 15, or risk suspension. It also requires a “health pass” to enter all restaurants, trains, planes and some other public venues. It initially applies to all adults, but will apply to everyone 12 and older starting Sept. 30.

To get the pass, people must have proof they are fully vaccinated, recently tested negative or recently recovered from the virus. Paper or digital documents will be accepted. The law says a government decree will outline how to handle vaccination documents from other countries.

The bill was unveiled just six days ago.

Lawmakers worked through the night and the weekend to reach a compromise version approved by the Senate on Sunday night and by the National Assembly after midnight.

The rules can be applied through Nov. 15, depending on the virus situation.

Macron appealed for national unity and mass vaccination to fight the resurgent virus, and lashed out at those fueling anti-vaccine sentiment and protests.

About 160,000 people protested around France on Saturday against a special COVID-19 pass for restaurants and mandatory vaccinations for health workers. Many marchers shouted “liberty!” and said the government shouldn’t tell them what to do.

Visiting a hospital in French Polynesia afterward, Macron urged national unity and asked, “What is your freedom worth if you say to me ‘I don’t want to be vaccinated,’ but tomorrow you infect your father, your mother or myself?”

While he said protesters are “free to express themselves in a calm and respectful manner,” he said demonstrations won’t make the coronavirus go away.

He criticized “people who are in the business of irrational, sometimes cynical, manipulative mobilisation” against vaccination. Among those organising the protests have been far-right politicians and extremist members of France’s yellow vest movement tapping into anger at Macron’s government.

More than 111,000 people with the virus have died in France, which is registering about 20,000 new infections daily compared to just a few thousand earlier this month. Concerns for hospitals are resurfacing.

Chanzo: France24
Hiih! Hivi kwa akili yako timamu kabisa Unafikiri Chanjo hii ni hiyari; Hiyari ya wapi?
Kweli Rais na viongozi wake waandamizi, waliokuwa wakipinga chanjo hii wakati wa utawala wa awamu ya V kwa nguvu zao zote, wamekubali kupokea Chanjo na kuchanja kwanza, halafu wewe mwananchi mwenzangu wa kawaida tu Unakatalia wapi?
Lugha iliyotumika ni ya kiungwana kuwavuta watu; lakini baada ya hapo, sharti kila mtanzania achanjwe. Unafikiri utalazimishwa kwa namna unavyodhani; wapi!
Ukitaka kununua au kuuza, utatakiwa kuonesha cheti kuwa umechanja Uviko-19; ukitaka kuendelea na ajira, sharti uwe umechanjwa; huduma hospitalini, benki, na kadhalika, lazima uwe umechanjwa aidha na Astra Zeneka, J&J, na chanjo yoyote unayoifahamu. Kwa shinikizo hizi na nyingine zinazofanana, utajikuta mwenyewe unahiyari kwenda kuchanja. Kwa hiyari yako mweenyewe!
Madhara yanayoambatana na chanjo hizi yanasemwa mengi. Ni Maombi pekee kwa Bwana Yesu Kristo ndiyo yanaweza kutuponya. Huwezi mwananchi wa kawaida kubishana na mamlaka, yaani Serikali.
Chanjo hii tofauti na zilizotangulia, pamoja na uzuri au ubaya wake, haiyumkiniki, imepokelewa kwa mitazamo hasi na watanzania kwa sababu mbalimbali.
Utakumbuka Serikali ya Awamu ya V ilipinga waziwazi juu ya Chanjo ya Uviko-19. Bahati mbaya au nzuri, Rais wetu wa sasa, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, baadhi ya mawaziri ktk wizara mbalimbali, viongozi wakubwa waandamizi, na kadhalika, walikuwa kitu kimoja na aliyekuwa Rais, marehemu JPM kupinga kabisa kabisa juu ya Chanjo hizi za Uviko-19.
Sasa, kimetokea nini wamefanya U-TURN ghafla? Watanzania lazima wawe na mashaka. Lazima waogope. Tena zipo conspiracy theory kuwa kule kuchanjwa tulikoshuhudia wakati wa uzinduzi wa Chanjo nchini na Rais SSH, ati, ilikuwa maigizo tu. Kiini macho. Watanzania tunajiuliza, iwapo ndivyo, Je, ni jambo gani lililo nyuma ya pazia au chini ya zuria?
Haya, ni Serikali awamu ipi tuiamini juu ya hili; Ni ile ya Awamu ya JPM au SSH?!
Anyway, ndugu jitahidi kujiandaa kisaikolojia, chanjo lazima utachanja tu, japokuwa itakuwa si kwa utashi wako. Utachanjwa kwa hiari hata kwa shinikizo.
 
Unauhakika gani kama io ni chanjo ya kweli.?
images (21).jpeg
Muulize huyo aliyekua akikata nanasi na kusema chanjo haifai atakujibu!
 
Sijui wewe unaposema zamani labda una maana nyingine.

Nimekwambia tena,hakuna sehemu kuna kiongozi amewahi kuzuia chanjo tz.

vifo vyote ni corona??

Kwahiyo wewe takwimu ulizitoa wapi kama alikuwa akizuia,na je kabla ya hapo wwatu walikua hawaugui na kufariki tz??

Mimi ni miongoni mwa tuliotembea,tunatembea kifua mbele,sijafa bado.wewe ulikufa??

unaujua ukimwi???embu hubiri haya kuhusu ukimwi.

Kama covid inaua wenye kinga hafifu,ingawa sina uhakika kama ni kweli,kwanini chanjo inasukumwa kilazima kwa watu wote??

mshangao wangu ni wewe takwimu za vifo vya corona umetoa wapi,na hazikuwa zikitolewa.

Corona ipo,na maisha yapo,chagua moja la kushughulika nalo.
Nimeongea kitaalam kumbe namuelewesha MATAGA !

Pole sana usichome chanjo , endelea kuamini Corona ni futa na chanjo ni mkakati wa kibeberu kupunguza waafrika kama mlivyolishwa uongo..

Hili litakuwa jibu langu la mwisho kwako

Mie niko nadunda miezi 5 sasa! Subiri kimbunga kikupate ndio utajua nchi imeweka kipaumbele kwenye nini kama V8 zinakua full tank ila hospital kuna muda hadi Paracetamol zinakua out of stock.
 
Wape faida lockdown ilikuwa kwa ajiri ya nini ili aweze kuona mwenyewe ni vp imesaidia.
Lockdown kazi yake kubwa ni kupunguza muingiliano wa watu hasa kuepusha mlipuko mfano mashabiki wa Finland walioenda Euro 2020 walivyorudi walileta mlipuko mkubwa so watu almsot elfu 2 wakasababisha tatizo kwa zaidi ya watu elfu 20000!!!

Sasa imagine hao elfu 2 wasingetoka nje ya Finland na wakabaki kwenye mitaa yao tu ni maisha mangapi yangepona???


However mnaozodoa lockdown ilipaswa msaidie je ni mbinu gani mbadala utaepusha maambukizo ya communicable disease tena kwa hewa bila kuzuia mikusanyiko?? Hvi bila lockdown unadhani wangekufa wangapi kma sio mara 10 ya pale!!
 
Lockdown kazi yake kubwa ni kupunguza muingiliano wa watu hasa kuepusha mlipuko mfano mashabiki wa Finland walioenda Euro 2020 walivyorudi walileta mlipuko mkubwa so watu almsot elfu 2 wakasababisha tatizo kwa zaidi ya watu elfu 20000!!!

Sasa imagine hao elfu 2 wasingetoka nje ya Finland na wakabaki kwenye mitaa yao tu ni maisha mangapi yangepona???


However mnaozodoa lockdown ilipaswa msaidie je ni mbinu gani mbadala utaepusha maambukizo ya communicable disease tena kwa hewa bila kuzuia mikusanyiko?? Hvi bila lockdown unadhani wangekufa wangapi kma sio mara 10 ya pale!!
Mimi zijazodoa lockdown nimetaka utoe faida zake tu, sasa kwa faida kama hizo ndio nashangaa watu kupinga lockdown kwa nchi za africa.
 
Mimi zijazodoa lockdown nimetaka utoe faida zake tu, sasa kwa faida kama hizo ndio nashangaa watu kupinga lockdown kwa nchi za africa.
Kwa africa sio viable maana teknolojia ipo chini sana so uzalishaji ungeshuka but ulaya wana facility to work from home. Maadam chanjo wamepata so lockdown haina haja tena ssa anaposema lockdown imewashinda tumueleweje?
 
Kwa africa sio viable maana teknolojia ipo chini sana so uzalishaji ungeshuka but ulaya wana facility to work from home. Maadam chanjo wamepata so lockdown haina haja tena ssa anaposema lockdown imewashinda tumueleweje?
Labda ameangalia hali ya maambukizi na vifo kati ya nchi zilizoweka lockdown na ambazo hazijaweka lockdown, hivyo pengine labda ungemuwekea namba kuonesha nchi zilizoweka lockdown imesaidia vp kupunguza vifo hasa kama kwa wazee ambao ndio wahanga wakubwa.

Kwahiyo labda ungetumia namba sasa kumuonesha jinsi lockdown zilivyokuwa na tija badala ya kusema tu kama isingekuwa lockdown hali ingekuwa mbaya.
 
Back
Top Bottom