Huwezi kujiuliza kwa nni siku hizi tunapata mikopo mingi na wanatoa kwa wakati, tofauti na zamani wanatoa mikopo kisha hawaitoi mpaka kipindi kinaisha?
Pamoja na yote bado anayo haki ya kupongezwa kwa kuzisimamia.
Yani Mungu aibariki nchi yako kwa kupewa mikopo? kwanini usiseme Mungu aibariki Tanzania iwe nchi ya kutoa mikopo na sio kupokea miko kutoka kwa mabeberu?MUNGU IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA
Mkuu, kwa mkopo huu hawataitwa tena mabeberu bali wafadhili au wadau wa kudumu wa maendeleo kama siyo marafiki wa muda mrefu wenye kulitakia mema taifa letu.Chanzo RFA habari
Leo Bwana Dotto James kapokea mkopo mpya wa zaidi ya shilingi bilioni 500 toka ufaransa kwa ajili ya miradi ya umeme wa REA na miradi ya maji jijini mwanza.
Sawa.Iliwezesha kuwalipa dowans and the likes.
Awamu hii ya 5 hatuiti ni mikopo tunaita ni FEDHA ZETU ZA NDANI.nani analipa huo mkopo?
Cheki ulivyokimbia shule sasa,Interest za Mikopo vs Interest za kwny fixed deposit zipi ni kubwa?Ukiwa tajiri lazima ukope, pesa zako unaweka akiba, maana Akiba haiozi.
Mwanza hali ya maji bado si stable sana hasa ukitoa Mwanza jiji.Hapo Rea tayari hiyo pesa imetoka ikaenda alafu ikakata Kona kusikojulikana... Hiyo miradi ya maji mwanza haishi... Nilidhania Ni kwaajiri ya Tabora kuunganishwa na maji Safi kutoka ziwa Victoria..
Wananchi wanyongenani analipa huo mkopo?
wanyonge wananyongwaWananchi wanyonge
Cheki ulivyokimbia shule sasa,Interest za Mikopo vs Interest za kwny fixed deposit zipi ni kubwa?
Unajua terms za huo mkopo mpaka useme zinakuja kwa wakati? Ungekuwa unajua vipengele vya huo mkopo wangalau. Hivi huku kanda ya kusini mbona sioni ikipatiwa miradi ya bei kubwa kama huko kanda ya ziwa? Kuna nini kanda ya ziwa sasa hivi?