wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Wakati.mwingine muwe mnaacha ujinga, hapa tuanazungumzia mkopo hatuzungumzii hiyo kanda sijui ya kusini, pia ujue huo mkopo haujatoka sasa kusini na kanda ya ziwa vinatoka wapi?
Pia uache mambo ya ukanda, ukitaka ukanda muulize membe pesa za gadafi alipeleka wapi?
Kwahiyo na hizo za ufaransa zitaliwa Kama zile za Gadafi?
Polepole Ana kazi Sana badala apange Safu ya watoa hoja za msingi ktk propaganda... Naona Sasa ameamua kuajiri waimba taarabu na mapambio.
Pole CCM naona inazidi kupotea kwa Kasi Sana ajabu...