Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
Hakuna kitu ume andika zaid ya utetezi maandazi n nani asie jua Hilo li Deen lenu la Mnyaazi jinsi mnavo fundishwa kuchukia watu wa Iman tofauti na yenu kupelekea kuwaita makafir?Katika hili kuna mambo wawili Christians mnaendelea kuthibitisha,
1. Hakuna dini yenye watu wenye chuki dhidi ya dini nyingine zaidi ya Ukristo. Hili linathibitishwa hata humu kila siku utakuta wanavyoandama dini nyingine.
2. Christians hufikiri na kuwaza mambo pasi na kushirikisha ubongo linapokuja suala la dini. Yani hata Christian awe ni professor lakini ikishafika dini akili anakuwa hana.
Sasa mnapopongeza eti kuzuia marubani wa Kiislam kuzuiwa, hivi shambulio la September 11 lilifanywa na marubani kwa mujibu wa propaganda mlizolishwa?
Anyway endeleeni kupokea kila aina ya propaganda mnazolishwa.
Ndo maana nasapot 10000% anacho kufanya Israel pale gaza kusafisha wale wapuuzi kama wewe.