Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
- Thread starter
-
- #21
Enzi zetu hata kama maswali yatakuwa yanajirudia lakini kwenye usahihishaji bado watakubana tu ..kwamba miaka hii tu ndo maswali unataka kusema yamekuwa yakijirudia? Siyo kwamba nawaonea wivu hapana ..mimi o'level niligonga 1-11 -2010Hivi ni kitu gani cha ajabu hapo aisee.
Mbona ni kitu kinawezekana kabisa, maswali yenyewe ni yaleyale tu.
Nakumbuka **** level fulani nilianza kusoma two weeks before exams, ila ajabu maswali niliyoyakuta ni yale niliyohisi yatatoka na nikapasua fresh kabisa.
Sembuse hao wanaofanya hayo maswali almost 2 yrs before exams, acheni kujidharau namna hiyo.
Ina maana mleta uzi, ukiletewa maswali uliyoyafanyia kazi mwaka mzima bado hutusui....??
Duuuuh, zamani ulikuwa ukipata hio one unapewa heshima mtaani sawa na mbunge😂Hi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki
Sasa hivi imekuwa too much...
Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point 7... 🙌😄🤔
Hatari sana aiseeDuuuuh, zamani ulikuwa ukipata hio one unapewa heshima mtaani sawa na mbunge😂
mbona kuna muundo wa mitihani ya necta?Kuna uwezekano mkubwa sana wanafunzi wote walikutana na zaidi ya asilimia 90 ya maswali ambayo wameshayafanyia mazoezi.
Swali ni ilikuaje walimu wakaweza kutabiri maswali kwa kiwango kikubwa hivyo? tena kwa masomo zaidi ya saba?
It's insane!
Nyenzo mkuu, miaka hii kufeli ushindwe wewe tu.Enzi zetu hata kama maswali yatakuwa yanajirudia lakini kwenye usahihishaji bado watakubana tu ..kwamba miaka hii tu ndo maswali unataka kusema yamekuwa yakijirudia? Siyo kwamba nawaonea wivu hapana ..mimi o'level niligonga 1-11 -2010
Mkuu una hoja nzuri lakini wanafunzi 91 wote wapate 1 point 7? Something is wrong hapo. Maswali yatakuwa yanajirudia Kuliko kawaida. Necta itunge mitihani kuendana na teknolojia iliyopo Kwa sasa.Nyenzo mkuu, miaka hii kufeli ushindwe wewe tu.
Miaka ya zamani elimu ilikua ni kustrugle mzee, shule za kata zilikua na hali mbaya zaidi. Walimu hakuna, vitabu hakuna, hizo maabara wanazisikia ila siku hizi somehow hizo vitu zipo + internet.
Halafu shule kama St. Francis hazijaanza leo kushangaza kwenye ufaulu. Miaka hii iliyojaa tech wanafunzi 91 kupata 1 ya 7 sio ajabu.
Nini maana ya mitihani??Mkuu una hoja nzuri lakini wanafunzi 91 wote wapate 1 point 7? Something is wrong hapo. Maswali yatakuwa yanajirudia Kuliko kawaida. Necta itunge mitihani kuendana na teknolojia iliyopo Kwa sasa.
Nini maana ya mitihani??
Hamtaki watu wagaulu au mnataka wafaulu??
Mwanao akipata 1 ya 7 utakasirika??
Kwanini unaamini kwenye kushindwa mkuu.
Darasa zima lenye watoto 91 kupata 1 ya 7 hilo lisitufikirishe ila tunatakiwa kushangilia tu Kwa kuwa wamefaulu? 1 ya 7 imekuwa rahisi hivi siku hizi? Hata kipindi wanafunzi walipata zero nyingi Kuliko kawaida tulihoji. Kama wanafunzi wakifanya vibaya kupitilza tunahoji basi wakifaulu Kwa kiwango cha kutisha kama hiki lazima tuhoji pia.Nini maana ya mitihani??
Hamtaki watu wagaulu au mnataka wafaulu??
Mwanao akipata 1 ya 7 utakasirika??
Kwanini unaamini kwenye kushindwa mkuu.
Wakifikaga Gvt schools in kisanga, wanashuka hao.Kwa regime ya hiyo shule ni lazima ufaulu tu utake usitake.