Ufaulu wa miaka hii

Ufaulu wa miaka hii

Hivi ni kitu gani cha ajabu hapo aisee.

Mbona ni kitu kinawezekana kabisa, maswali yenyewe ni yaleyale tu.
Nakumbuka **** level fulani nilianza kusoma two weeks before exams, ila ajabu maswali niliyoyakuta ni yale niliyohisi yatatoka na nikapasua fresh kabisa.

Sembuse hao wanaofanya hayo maswali almost 2 yrs before exams, acheni kujidharau namna hiyo.

Ina maana mleta uzi, ukiletewa maswali uliyoyafanyia kazi mwaka mzima bado hutusui....??
Enzi zetu hata kama maswali yatakuwa yanajirudia lakini kwenye usahihishaji bado watakubana tu ..kwamba miaka hii tu ndo maswali unataka kusema yamekuwa yakijirudia? Siyo kwamba nawaonea wivu hapana ..mimi o'level niligonga 1-11 -2010
 
Hi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki

Sasa hivi imekuwa too much...

Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point 7... 🙌😄🤔
Duuuuh, zamani ulikuwa ukipata hio one unapewa heshima mtaani sawa na mbunge😂
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wanafunzi wote walikutana na zaidi ya asilimia 90 ya maswali ambayo wameshayafanyia mazoezi.

Swali ni ilikuaje walimu wakaweza kutabiri maswali kwa kiwango kikubwa hivyo? tena kwa masomo zaidi ya saba?

It's insane!
mbona kuna muundo wa mitihani ya necta?

kwamba kila swali litakuwa la mada fulani

hizo exam formats ndo watu wanatumia kujiandaa na necta, hawasomi kila kitu

halafu kuna walimu wa huko st francis wamewahi kutunga mitihani ya necta, wapo waliowahi kusahihisha kwahiyo wanajua miundo

na pia st francis inachukua wanafunzi wanaofaulu vizuri tu, interview zao ni za mchujo
 
Enzi zetu hata kama maswali yatakuwa yanajirudia lakini kwenye usahihishaji bado watakubana tu ..kwamba miaka hii tu ndo maswali unataka kusema yamekuwa yakijirudia? Siyo kwamba nawaonea wivu hapana ..mimi o'level niligonga 1-11 -2010
Nyenzo mkuu, miaka hii kufeli ushindwe wewe tu.
Miaka ya zamani elimu ilikua ni kustrugle mzee, shule za kata zilikua na hali mbaya zaidi. Walimu hakuna, vitabu hakuna, hizo maabara wanazisikia ila siku hizi somehow hizo vitu zipo + internet.

Halafu shule kama St. Francis hazijaanza leo kushangaza kwenye ufaulu. Miaka hii iliyojaa tech wanafunzi 91 kupata 1 ya 7 sio ajabu.
 
Mkuu una hoja nzuri lakini wanafunzi 91 wote wapate 1 point 7? Something is wrong hapo. Maswali yatakuwa yanajirudia Kuliko kawaida. Necta itunge mitihani kuendana na teknolojia iliyopo Kwa sasa.
 
Mkuu una hoja nzuri lakini wanafunzi 91 wote wapate 1 point 7? Something is wrong hapo. Maswali yatakuwa yanajirudia Kuliko kawaida. Necta itunge mitihani kuendana na teknolojia iliyopo Kwa sasa.
Nini maana ya mitihani??
Hamtaki watu wagaulu au mnataka wafaulu??

Mwanao akipata 1 ya 7 utakasirika??
Kwanini unaamini kwenye kushindwa mkuu.
 
Darasa zima lenye watoto 91 kupata 1 ya 7 hilo lisitufikirishe ila tunatakiwa kushangilia tu Kwa kuwa wamefaulu? 1 ya 7 imekuwa rahisi hivi siku hizi? Hata kipindi wanafunzi walipata zero nyingi Kuliko kawaida tulihoji. Kama wanafunzi wakifanya vibaya kupitilza tunahoji basi wakifaulu Kwa kiwango cha kutisha kama hiki lazima tuhoji pia.
 
Mtihani wa taifa kwao ni mrahisi kama vile majaribio tu ,lakini kwa shule zingine mtihani huo huo matokeo ni mabovu sana
 
Back
Top Bottom