Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
- Thread starter
- #21
Enzi zetu hata kama maswali yatakuwa yanajirudia lakini kwenye usahihishaji bado watakubana tu ..kwamba miaka hii tu ndo maswali unataka kusema yamekuwa yakijirudia? Siyo kwamba nawaonea wivu hapana ..mimi o'level niligonga 1-11 -2010Hivi ni kitu gani cha ajabu hapo aisee.
Mbona ni kitu kinawezekana kabisa, maswali yenyewe ni yaleyale tu.
Nakumbuka **** level fulani nilianza kusoma two weeks before exams, ila ajabu maswali niliyoyakuta ni yale niliyohisi yatatoka na nikapasua fresh kabisa.
Sembuse hao wanaofanya hayo maswali almost 2 yrs before exams, acheni kujidharau namna hiyo.
Ina maana mleta uzi, ukiletewa maswali uliyoyafanyia kazi mwaka mzima bado hutusui....??