UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

Jamaa alikuwa kama anaenda kuloose kama ile ya mwisho mazingira yaleyale ila kambe kuna timing fulani katarget .

Ile ngumi ni hatar perreira kakaa chini
Ametumia mbinu inaitwa " Playing Possum "...yeye mwenyewe amekiri.
Otherwise kichapo kingehusika kwa mara ya Nne.
Alex yupo fit.
Adesanya akiombwa rematch akatae...akikubali tu ndio kifo chake hakika nakuambia...
 
😂😂😂Nilimuona kama anaenda kupoteza tena na alijilegeza kabisa..Sasa perreira akaachaka kabisa kudefence uso ikawa anapiga tu mara jamaa karusha ngumi ghafla .
Alex kakomaa kama zombie
 
Ametumia mbinu inaitwa " Playing Possum "...yeye mwenyewe amekiri.
Otherwise kichapo kingehusika kwa mara ya Nne.
Alex yupo fit.
Adesanya akiombwa rematch akatae...akikubali tu ndio kifo chake hakika nakuambia...
Pereira was fast-tracked to a title shot. Akitaka title shot tena na Izzy inabidi kwanza akutane na Costa, Vertori, Cannonier na Robert Whittacker. Kumbuka Izzy amawapiga wote hao niliowataja. Its time now for Alex to pay his due.
 
Unapokua unaish huku kwa wazungu.. halaf unaskia black person kashinda kitu flan against hao watu weupe.. daaah kuna feeling flan nzur sana unaifeel. Hata kama awe anatokea wap

Waafrica huku tunavyojifeel its like wote tunatoka nchi moja yan.. aisee...

Thumbs up kwa all black people wanaowakilisha dunian kote
Wewe ni mbaguzi wa rangi na hujiamini
 
Come back ya kibabe
🔥🔥🔥🔥Kitu kigumu kuhusu Izzy ana balance ya miguu yaani kumuangusha kama mzigo ilikuwa zamani ila tangu aingie kweny UFC ni ngumu sana ..

Jmaa ni mtaalamu na wala hapendi submission kama khabib yeye ni punching za maana ..
 
Pereira was fast-tracked to a title shot. Akitaka title shot tena na Izzy inabidi kwanza akutane na Costa, Vertori, Cannonier na Robert Whittacker. Kumbuka Izzy amawapiga wote hao niliowataja. Its time now for Alex to pay his due.
Pereira akutane na Romero jicho chongo ataelewa yule jamaa hata Izzy alishinda kwa timing sana
 
Yoel Romero hatari. Anatokea Cuba jamaa. Alianza na wrestling baadaye akapata contract UFC. Stylebender alishinda unanimous decision. Hiyo maana yake judges wanakubaliana fighter yupi ameshinda.
 
Back
Top Bottom