Ametumia mbinu inaitwa " Playing Possum "...yeye mwenyewe amekiri.Jamaa alikuwa kama anaenda kuloose kama ile ya mwisho mazingira yaleyale ila kambe kuna timing fulani katarget .
Ile ngumi ni hatar perreira kakaa chini
😂😂😂Nilimuona kama anaenda kupoteza tena na alijilegeza kabisa..Sasa perreira akaachaka kabisa kudefence uso ikawa anapiga tu mara jamaa karusha ngumi ghafla .Ametumia mbinu inaitwa " Playing Possum "...yeye mwenyewe amekiri.
Otherwise kichapo kingehusika kwa mara ya Nne.
Alex yupo fit.
Adesanya akiombwa rematch akatae...akikubali tu ndio kifo chake hakika nakuambia...
Come back ya kibabeI need a video clip p'se, naona huko u tube bado hawajaxipandisha
Pereira was fast-tracked to a title shot. Akitaka title shot tena na Izzy inabidi kwanza akutane na Costa, Vertori, Cannonier na Robert Whittacker. Kumbuka Izzy amawapiga wote hao niliowataja. Its time now for Alex to pay his due.Ametumia mbinu inaitwa " Playing Possum "...yeye mwenyewe amekiri.
Otherwise kichapo kingehusika kwa mara ya Nne.
Alex yupo fit.
Adesanya akiombwa rematch akatae...akikubali tu ndio kifo chake hakika nakuambia...
Acha kabisa. Kama ni mtoto wa mama unachezea nakoz, lazima tukupeleke hospital au tunakuzika kabisa.Mchezo hatari sana
Wewe ni mbaguzi wa rangi na hujiaminiUnapokua unaish huku kwa wazungu.. halaf unaskia black person kashinda kitu flan against hao watu weupe.. daaah kuna feeling flan nzur sana unaifeel. Hata kama awe anatokea wap
Waafrica huku tunavyojifeel its like wote tunatoka nchi moja yan.. aisee...
Thumbs up kwa all black people wanaowakilisha dunian kote
🔥🔥🔥🔥Kitu kigumu kuhusu Izzy ana balance ya miguu yaani kumuangusha kama mzigo ilikuwa zamani ila tangu aingie kweny UFC ni ngumu sana ..Come back ya kibabe
Pereira akutane na Romero jicho chongo ataelewa yule jamaa hata Izzy alishinda kwa timing sanaPereira was fast-tracked to a title shot. Akitaka title shot tena na Izzy inabidi kwanza akutane na Costa, Vertori, Cannonier na Robert Whittacker. Kumbuka Izzy amawapiga wote hao niliowataja. Its time now for Alex to pay his due.
Yoel Romero hatari. Anatokea Cuba jamaa. Alianza na wrestling baadaye akapata contract UFC. Stylebender alishinda unanimous decision. Hiyo maana yake judges wanakubaliana fighter yupi ameshinda.Pereira akutane na Romero jicho chongo ataelewa yule jamaa hata Izzy alishinda kwa timing sana