mzee hapa namba zilikataa. Huwezi gawanya namba jibu likawa kubwa zaidi ya namba iliyogawanywa. Yaani huwezi gawanya billion ukapata trilion labda ulizidisha
Kwamba zile nyaraka kwenye blog ni fake...!?
Mitandao yote tu tunaibiwa sana basi tu imekuwa ngumu kuwang'oa hawa ccmVodacom ndio mtandao wa hovyo kuliko wote Tanzania watu wengi wanatumia kwa sababu ya Mpesa tu usingekuwa mpesa basi Vodacom ingebaki historia.
Hapo anayetafutwa na kuchafuliwa ni lowasa kisa,fred anamiliki alphatel ili mje mseme hizo ndo hela anazotumia lowasa kufanyia kampeni,jamani mbona mnamuandama mzee wa watu bila sababu,gwajima alishawaambia
Tunahitaji mapinduzi ya aina yoyote mradi tujikomboea.
Whether kupitia sanduku la kura au vinginevyo.
This is too much!
Si ndo hapo mkuu! Hichi kijinga Nakapanya kinabishabisha kijingaa wakati hii ishu ndo inamfanya Lowassa amwage fedha za kuinunua ikulu kama kumwaga mchanga! Vijitu kama huyu Nakapanya dawa yao ni kuvinyongelea mbali! Na wakae wakijua kuwa Lowassa akiingia ikulu hii nchi haitatawalika na ndani ya siku chache tu kitaeleweka!
Dah usitumie kichwa kufugia nywele tuu. Serikali imepoteza Mapato hapo, wananchi wameibiwa halafu wewe sijui hata unaandika nini? Nakuuliza tena hii Serikali inaongozwa na Chama gani?
Hivi Shivacom bado ina-sustain???
Nyie wajinga1!
Ndio tatizo watoto wa siku hizi mliopatikana kwa bahati mbaya.Toa facts hapa sio unaleta ujinga wako hapa.