UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Hebu tutafakari kidogo.....
...hivi katika mambo kama haya huwa tunasema "Rostamu na wenzake wamejaliwa na Mwenyezi Mungu" au tusema kuwa "Watanzania tumelaaniwa" ...sijui na Mungu huyo huyo aliyewajalia akina Rostam au 'msaidizi mungu'.
Naandika hivi kwa sababu yote haya yanatokea lakini 'wananchi' tumetulia kama maji ya kwenye mtungi!
 
CCM ina wenyewe, na wenyewe ndo CC pamoja na wewe.

Kidumu Chama cha Majambaz
 
Lowassa mbona alisema yeye si Tajiri?
Tungekuwa na Serikali tungeinunua Zantel ndio iwe kampuni ya Taifa.
 
Hebu tutafakari kidogo.....
...hivi katika mambo kama haya huwa tunasema "Rostamu na wenzake wamejaliwa na Mwenyezi Mungu" au tusema kuwa "Watanzania tumelaaniwa" ...sijui na Mungu huyo huyo aliyewajalia akina Rostam au 'msaidizi mungu'.
Naandika hivi kwa sababu yote haya yanatokea lakini 'wananchi' tumetulia kama maji ya kwenye mtungi!

Hiyo timu hapo majambazi watupu......
 
Alafu kuna Majitu usiku kucha wanampigia Debe Mamvi awe Rais wa nchi hii. Mimi nasema Sisi watanzania Tumelogwa na aliyetuloga alikufa.
Tunaibiwa vivocha vyetu kumbe wanakusanyia vya kampeni eti Jay Millions wizi mtupuuu. Pumbavu.zenu
 
Hii ni hatari .inamaana idara zote za nchi hii ni ccm chukua chako mapema taifa linaangamizwa
 
Duh sasa ndio nimegundua kwanini yule kinara wa siasa kutoka chama kile anamwaga mifedha hovyo kumbe source ni VODACOM
 
Nadhani kwa habari kubwa kama hii ni vyema tungepewa chanzo. Isije ikawa kujazana chuki kwa story za vijiweni
 
tanzania ni kisiwa cha amani, nyie mnaoleta habari kama hizi hamna nia njema, hata tukilala njaa au tukiibiwa ni sawa tu kama tutabaki na amani yetu, miaka 51 ya muungano sio mchezo, hii ndio ccm hata upepo huu utapita tu!

Enzi za Mao tse Dong au Aldof Hitrel watu kama nyie alikuwa anawatandika Risasi tu maana mlikuwa mnachelewesha maendeleo.
 
Siku zote huamini kuwa tajiri ni lazima uwe mwizi au zulumati!
 
Back
Top Bottom