tusiwe watu wenye akili ndogo, na wenye uvivu wa kufikiri na kufanya utafiti kabla ya kuropoka.
1. Kashfa yoyote itokeapo, utaona cha kwanza watakacho kimbilia ni kuishutumu ccm na rais, lakini hatuangalii ni wapi tatizo lilipo. Japo maneno yao hayakosi kaa ukweli kuwa serekali inapaswa kuwa macho na kuhakikisha mambo kama hayo hayatokei.
2. Serekali inajitahidi kuwaletea ajira wananchi wake, ni watu kama mimi na wewe tunaopewa majukumu, ndani ya idara zote husika kuchunguza, kulinda na kusimamia utekelezaji mzuri wa majukumu tuliyopewa, lakini utaona tumekuwa na mila ya kutafuta urahisishaji wa mbinu za ufujaji na kutafuta rushwa kwa nguvu, we dont look for employement to build a carrer, but we look for opportunity to earn wealth corruptly.
huu ndio wakati muhimu kujihami na tuambiane ukweli, kwa hii tabia tuliyonayo hivi sasa, hata aje nani (yesu/muhamad) hatuwezi kuwa rai watiifu au watendaji wazuri, kwani sisi tuliopo hapa jukwani tuko corrupt, na corruption inaanza na kutokuwa mkweli, mwenye kupendelea bila kuangalia haki, mwenye kutupa lawama mbali ili hali haikugisi wewe na uwapendae.
3. Jee hii scandal amboyo ni kutokea 2008, hivyo wabunge wote hayo hawakuyaona.
4. We need self education on the evilness of corruption, before we start pointing fingers. Ask yourself are you free of corruption, do you fight it, do you preach against it.
kwa hili la vodacom, justice has to take place