Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
I mostly agree with u.. That doesn't need a first class degree or MBA, Just being smart in a real world.. Lakini it happen u want to push something lakini hawa Indians wakiona hiyo kitu itabreak their chain watafanya kila kitu wakizuie. Hakuna dili lolote kubwa ambalo a humble Tanzanian utafanya pasipo muhindi nyuma yake as unaona kila kashfa ya ufisadi hapa nchini wahindi wako nyuma ya hizo ishu.
Siwezi zuia watu kuwa ma'mastermind na kupiga pesa hivyo lakini why lazima kuwe na muhindi nyuma ya kila kitu?? Ni kama vile tunatawaliwa na wahindi bila kujijua ndio maana mpaka rais wanatuwekea wao, au ni kwamba hatuko smart kuzifanya hizo ishu wenyewe bila wao??
Hapo pia kunanikwaza sanaa pia. Ni akheri mbongo mwenzio apige hyo hela cz itabaki hapa hapa nyumbani. Maendeleo na ajira zitakuwepo hapa hapa nyumbani.