The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Enzi za Mao tse Dong au Aldof Hitrel watu kama nyie alikuwa anawatandika Risasi tu maana mlikuwa mnachelewesha maendeleo.
Dah rostam again n again loh
Shame sumaiya
hebu tutafakari kidogo.....
...hivi katika mambo kama haya huwa tunasema "rostamu na wenzake wamejaliwa na mwenyezi mungu" au tusema kuwa "watanzania tumelaaniwa" ...sijui na mungu huyo huyo aliyewajalia akina rostam au 'msaidizi mungu'.
Naandika hivi kwa sababu yote haya yanatokea lakini 'wananchi' tumetulia kama maji ya kwenye mtungi!
Hapo anayetafutwa na kuchafuliwa ni lowasa kisa,fred anamiliki alphatel ili mje mseme hizo ndo hela anazotumia lowasa kufanyia kampeni,jamani mbona mnamuandama mzee wa watu bila sababu,gwajima alishawaambia
Mkuu unahasira umesanda njaa kali...watu wanapakua pilau la kuku ki ulaini we unashindia dagaa.
Sio zali la mentali bali Akili.
Kuna mtu aliwahi niambia, kama ww ni msomi wa viwango vya juu, usije ukalogwa ukaondoka bongo. Tumia maarifa na elimu yako kufanya biashara Tz. Nlitafakari sana yale maneno nikaona ni ukweli mtupu.
Ni kweli mkuu, bongo ukiwa mastermind unapiga pesa sana.. Ila tatizo mpaka kuzipata hizo tender na michongo mikubwa mikubwa ndio ishu, unless u sell your ideas to them for a commission au uendelee kukaa nao kichwani ukisubiri a system to favor u. Mirija yote ya pesa imeelekezwa kwa Wahindi na ndio wanachukua tender zote za mabilioni na sie tukiachiwa za vimilioni.. Nenda kwenye Phonebook ya Procurement Officer yeyote wa wizara or any other big authority lazima utakutana na majina kibao ya kanjibahi..
Kama uko kwenye system tayari unaweza kucheka, if not I can see how u struggle to get in there, na ni lazima uwe na kadi ya CCM mfukoni hahahaha. "Hii injii hii in Mrema's Voice"
Nadhani kwa habari kubwa kama hii ni vyema tungepewa chanzo. Isije ikawa kujazana chuki kwa story za vijiweni
hahaah!!! kila mtu ni mpigaji. hapo kwa rene meza ndiyo patamu, yani jamaa kaja voda kakuta noma then akataka mpunga apige kimya! ni balaa.OMG!
Hii nchi kila mtu anakwapua awezavyo.
========
Insiders say Vodacom Tanzania's MD, Rene Meza, found out about the scandal after just arriving in Tanzania from Kenya to take up the position of Vodacom Tanzania managing director.
"Rene Meza confronted Tanil about the scandal and demanded a $10 million kickback to keep quiet. Tanil arrogantly told him to piss off, so Rene retaliated by instructing Vodacom's legal counsel to write a letter to Shivacom to terminate the electronic recharge voucher agreement for breach of contract," said a well-placed source.
Seriously mimi simchukii kabsa mtu mwizi ili mradi asitoe uhai wa mtu. Cz it makes u think deeply huyu mtu ananipigaje hela zangu bila mimi kujua...its either im too stupid or he/she is more brighter than me hence i need to get more advanced. Ndio maana kuna watu wanalipwa hela kibao ku hack technology services ili weaknesses zijulikane.
Huku duniani kuna watu ni ma excellent strategists. Wakipanga kitu hakirudi nyuma but all they lack is funds....na unakuta classwise ni very average. These people make excellent business people (Note: kuna difference between a business person and an entrepreneur). Mtu unakuta ni business architect ana maneuver hana mtaji hata wa tsh 100 mwisho wa siku anavuna billions. Honestly such people inspire me a lot.