UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Unajua ukisoma.hata.baibo
musa akutumia jeshi kuwaokoa waisrael
yussuf akutumia uchawi kutawala ndugu zake
daudi akutumia nguvu kumuua goliati
namaanishaa mungu akiamua kufungua milango akuna atakayefunga...lamaana omben favour toka kwa mungu awape ufahamuwapipesa ilipo

wenzenu hiyo.ni favour akunauchawi ffrm allplp reneeeeee???woiiiii hatamnaamini ntatoka tu
 
Amkeni nyie somaiya ajapiga mwenyeee

historia ta somaiya anapiga na...kinamoi nk...


Nendeni deep. Nishdaaa
 
Swali zuri sana. Tatizo watu wanashadadia tu. Hapa sisi kama wananchi ni kukomalua hio 121 bill tax evasion. Hayo mengine sioni yanatuhusu vipi.

Hiyo ni pesa ya wananchi ndugu, hao walaghai wametumia mgongo wa Voda kulaghai wananchi na kuchukua pesa ya dhuluma. Hujui kuwa kuna wananchi ni stakeholder wa Voda pia.
 

Haiingii akilini for 5 years without Vodacom 's knowledege??????? Wakati kila siku mlikuwa mnazitangaza kwenye vyombo vya habari?? Kila sehemeu kulikuwa kuna mabango ya Voda Jerojero!!!!!!!!!!! Hebu sema ukweli naona kama unazunguka mbuyu hapa!!!!
 
na vodacom si ingekufilia mbali mazee....tuache kujenga chuki kwa data za kutunga..... na mbona hujatuambia taifa lilipoteza kodi kiasi gani?

Haujasoma wewe nenda kasome vizuri ndo utajua Tanzania tumepoteza kiasi gani
 
hizo skendal zipo nyingi sana za kutengeneza vocha ambazo zinzatumia serial number za kampuni husika lkn kampuni inakuwa hewa
 
Watu wanapiga deal kubwakubwa marafiki zake Lowasa hawa mnalalamika mb 8 kumbe watu wanalalamika kumbe mafisadi wameshamaliza mchezo.
 
Swala kwenye hii habari 5 years haiwezekani mzee hiyo cio luku ni airtime ninachokiona hapa ni mchezo wa kisiasa kuchafuana .hivi nnb iliuzwa kwa bei ghani jiulize ukipata jibu ile ndio scandal ambayo ingefunga na kuondoa watu madarakani 15 billion shs kampuni yenye matawi 247 nchii nzima
 
Lowassa kisheria HAHUSIKI HAPA.....mnajua sheria nyie..!?

You hv been implicating Lowassa with many unjustified
scandals of which legally HAMTAWEZA...HAHUSIKI...!!!

Pia, hizi ni hela za wafanyabiashara wakubwa...HAPO SI HELA ZA SERIKALI....BUT SEMA SERIKALI INGEPATA KODI....OF WHICH AGAIN...TAXES IN TELECOMMUNICATIONS SECTORS IS VERY VERY MINOR as compared to what they supposed to pay....!!!

Mtambo maalum wa kujua MATUMIZI YA VOUCHER ZOTE na MAPATO HALALI YA MAKAMPUNI YA SIMU hadi leo UKO PALE TCRA TU.....hawako serious kujua VODA, TIGO, AIRTEL, ZANTEL, TTCL WAMEPATA MAPATO KIASI GANI KWA SIKU, WIKI, MWEZI, MWAKA, ETC....wamebakia kuuangalia tu, so KODI NI NDOGO SANA.....Huo mtambo unacheleweshwa makusudi ili kodi halali serikali inakosa...BILLIONS OF TSHS...!!!
Haya yoooote yasingetokea HUO MTAMBO HAPO TCRA ungeanza kufanya kazi....ukitegemea haya makampuni ya simu yakuletee MAPATO YAO, KISHA UWAAMINI NDIO UKATE KODI....NI UWIZI WA HALI YA JUU...Waziri, Naibu Waziri mawasiliano, sayansi na teknolojia, TCRA CEO woooote wanajua wanapata KAMISHEMI kubwa kwa kuchelewesha huu mtambo...coz Serikali ingepata kodi kubwa na ndio tunachotaka, sbb makampuni haya yanaibia sana serikali THRU PAYING TAXES KIDOGO SANA
 
Sema nyie, jamani semeni..semeni yanayowasibu. Nchi hii ni bora tuweke viwango vya wizi.
ukiiba hela kuazia 1.1Bilion, huna kesi
 
Before you pick lowassa as your flag bearer you should consider first how deep he has stuck his head in shit...
What goes around comes around we have an alternative with the opposition am not propagating they are saints but as a nation its time for a change at least to compare.
 
Maninaaa... yani tunapigwa pande zote, Tatizo ni kwamba wapiga kura walio wengi haya wala hawayaelewi.. wangejua khanga na vitumbua wanavyohongwa na maCCM zinatoka wapi wangejinyonga aisee!!
 
Hivi usalama wa Taifa wanafanya nini?

Ni bora usalama wa taifa wakawa wanawajibika kwa bunge kwa baadhi ya mambo yasiohitaji usiri kama vile wizi na ufisadi.
 
Reactions: BAK
Sounds good to me! kama mlichagua viongozi mafisadi mlitegemea nini? Nini vodacom, ya airtel unayajua?
 
Alafu kuna Majitu usiku kucha wanampigia Debe Mamvi awe Rais wa nchi hii. Mimi nasema Sisi watanzania Tumelogwa na aliyetuloga alikufa.
Tunaibiwa vivocha vyetu kumbe wanakusanyia vya kampeni eti Jay Millions wizi mtupuuu. Pumbavu.zenu

Where is Lowasa implicated in this scandal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…